Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

KUMBE YANGA HAJABITIWA BADO.BASI WATUNISI WANAKUJA MNAHESABUJE.
 
Upumbavu wa unbeatean na ulozi ni hapa tanzania tuu. Unbeaten hiyo vipi au yule anaedaka akiwa na timu za nje ni msukule.
 
Kama ali hilal kawapiga nje ndani harafu unajitoa ufahamu unbeaten ni mavi mavi kama alivyo sema msemaji wenu
 
Upumbavu wa unbeatean na ulozi ni hapa tanzania tuu. Unbeaten hiyo vipi au yule anaedaka akiwa na timu za nje ni msukule.
Yanga kipa hawana Wana mpenda sifa tu
 
Wandu wa simba bwana....yaani wao wakiguswa kidogo tuu basi hao wanakimbilia kwenye caf 🤣🤣🤣🤣
 
Kama ali hilal kawapiga nje ndani harafu unajitoa ufahamu unbeaten ni mavi mavi kama alivyo sema msemaji wenu
Hakuna timu inavyoitwa "Ali hilali" na Yanga haujafungwa nje ndani kea kumalizia Unbeaten inayozungumziwa ni ya ligi kuu.
 
Daaah ila ligi ya bongo sijawahi ikubali
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…