Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

Huko nje Arsenal "the gunners" walienda 49 unbeaten...wewe kolo huwezi kwa litimu libovu hilo.
Walifanya vizuri pia mechi za kimataifa.
Siyo hii yenu ya mchongo.
Unafanya vizuri ndani kwa vile unahonga,na unapigwa na timu za nje kwa kuwa wewe ni timu ya kawaida sana.Unbeaten za mchongo tu
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
Mwisho wao ni mfupi. Mbio za sakafuni huishia ukingoni
 
Walifanya vizuri pia mechi za kimataifa.
Siyo hii yenu ya mchongo.
Unafanya vizuri ndani kwa vile unahonga,na unapigwa na timu za nje kwa kuwa wewe ni timu ya kawaida sana.Unbeaten za mchongo tu
Na ww Honga Ili ufanye vzr
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
Jaribu kukua, acha kuwachafua watu Kwa propaganda ambazo hazina maana kisa timu yako kufungwa, tuthibitishie kuwa msemaji wa KMC amehongwa pesa

Ndo Yale nasemaga kwamba kila team yenu ikifungwa mnatafuta propaganda za kijinga ili kuwapoza mashabiki wenu Kwa kuwachafua wenzenu, uungwana haupo hivo kiongozi
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
Yap 2nahonga kwa kweli,ndo maana tuliihonga KMC mkatoka nao Sare,kisha tukaja ihonga Simba 2kacheza ili 2cheze nayo pia tukatoka sare,na juzi hapo 2meihonga Azam ili mfungwe,hii season ya kihindi yetu ni nzuri sana
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
Arsenal walienda unbeaten game 49 lakn hakuna cha ajabu ambacho walikifanya kimataifa, kufanya vizuri kwenye Ligi haimaanishi kuwa na kimataifa utafanya vizuri

Kimataifa inategemea na opponent gani utakutana nae, lengo la mashindano yoyote no kupatikana bingwa so kama haujawahi kuwa bingwa wa hiyo michuano ya kimataifa means haujawahi kufanya vizuri bali umepiga hatua tu mbele kumzidi mwenzako

Hizo propaganda mnazoleta kwenye jukwaa kuchafua watu ni upuuzi, na siyo uungwana maana mnaishia kuleta maneno tu uthibitisho hamna

Akina Celtic, Rangers huwa wanafanya vizuri Sana kwenye Ligi Yao lakn UEFA mbona inawashinda??

Tuache utoto tuuongelee mpira kama mpira propaganda za kipuuzi tuachane nazo hazitufikishi popote
 
Hii ya kufanya vizuri kwa kuhonga inawafurahisha watu wenye akili za nyani tu

Huwezi kutambia maigizo kama una akili timamu
Kwa hiyo na wewe Azam asinge kusokomeza Ballcone na kukupitishia kwa nyuma mpaka akapata goli moja si ungesema na wewe bado hujafungwa hivyo unatengeneza Unbeaten yako?
 
Hii ni michezo ya kuigiza siyo football.
Kama una uwezo huo tungeuona kimataifa pia. Lakini tunafahamu kuwa hii timu imewekeza katika kuhonga pesa ipate ushindi wa mchongo.
Kwa hili gsm amefanikiwa.Mnahonga waamuzi,mnahonga baadhi ya wachezaji ili wacheze chini ya kiwango.
Mnahonga hadi wasemaji wa timu ili wasiharibu saikolojia ya wachezaji wenu.Mfano ni msemaji wa kmc.

Hii ni movie nzuri na washabiki wenu kwa kuwa hawana akili au kama wanazo ni kama za nyani,hawawezi kuona aina hii ya maigizo.

Mmefanikiwa kutengeneza tamthilia ya kihindi.Tunasubiri episode ya 44...
Kwenye Ligi kuu tangu 2019 Simba hajawahi kushinda mechi Kwa Yanga so nao huwa wanahongwa na Yanga? Azam miaka 6 hakupata matokeo Kwa Simba ndo ameyapata juzi so tuseme Simba nao walikuwa wanahonga Kwa Azam?? acheni mpira uchezwe kuliko kuchafua watu not good..
 
Walifanya vizuri pia mechi za kimataifa.
Siyo hii yenu ya mchongo.
Unafanya vizuri ndani kwa vile unahonga,na unapigwa na timu za nje kwa kuwa wewe ni timu ya kawaida sana.Unbeaten za mchongo tu
Arsenal iliyoenda unbeaten haikufanya chochote kimataifa
 
Arsenal walienda unbeaten game 49 lakn hakuna cha ajabu ambacho walikifanya kimataifa, kufanya vizuri kwenye Ligi haimaanishi kuwa na kimataifa utafanya vizuri

Kimataifa inategemea na opponent gani utakutana nae, lengo la mashindano yoyote no kupatikana bingwa so kama haujawahi kuwa bingwa wa hiyo michuano ya kimataifa means haujawahi kufanya vizuri bali umepiga hatua tu mbele kumzidi mwenzako

Hizo propaganda mnazoleta kwenye jukwaa kuchafua watu ni upuuzi, na siyo uungwana maana mnaishia kuleta maneno tu uthibitisho hamna

Akina Celtic, Rangers huwa wanafanya vizuri Sana kwenye Ligi Yao lakn UEFA mbona inawashinda??

Tuache utoto tuuongelee mpira kama mpira propaganda za kipuuzi tuachane nazo hazitufikishi popote
Huyo anajua ligi ya kibongo tu,si lazima utumie nguvu kumuelewesha
 
Back
Top Bottom