Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi.

Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby ya kariakoo uku wenzao jana wakifanya rotation ya kikosi na kuibuka na ushindi wa kibabe wao wazee wa pira litembee wakaona ufinyu wa kikosi chao isingekuwa rahisi kuzipumzisha bunduki zao na wakatoka salama wakaona waingie nazo hivyo hivyo na wakapasuka.

Tunaposema upana wa kikosi atumaanishi kuwa na rundo la wachezaji bali kuwa na wachezaji wanaoweza kufanya kile wanachofanya wale wanaoanza, Simba leo walitakiwa wafanye rotation ya wachezaji kutokana na energy kubwa waliyotumia kwenye derby lakini wameshindwa kufanya hivyo kutokana na kikosi finyu walichonacho.

Uchovu kwa wachezaji wao umeonekana dhahiri na Azam walitakiwa waondoke na goli si chini ya 3 kama sio kukosa umakini, Sasa yanga kakaa kileleni rasmi kuwatoa pale kwa gape la point 3 kwenye hii ligi ngumu labda liletwe tingatinga vinginevyo safari ndo imeanza rasmi ya kuretain ubingwa wao kwa mara nyingine, Taratibu gadiora mnene ataanza kutupiwa mawe
Kwanini kwenye unbeaten run yenu hamihesabu mechi za CAF?
 
Arsenal walienda unbeaten game 49 lakn hakuna cha ajabu ambacho walikifanya kimataifa, kufanya vizuri kwenye Ligi haimaanishi kuwa na kimataifa utafanya vizuri

Kimataifa inategemea na opponent gani utakutana nae, lengo la mashindano yoyote no kupatikana bingwa so kama haujawahi kuwa bingwa wa hiyo michuano ya kimataifa means haujawahi kufanya vizuri bali umepiga hatua tu mbele kumzidi mwenzako

Hizo propaganda mnazoleta kwenye jukwaa kuchafua watu ni upuuzi, na siyo uungwana maana mnaishia kuleta maneno tu uthibitisho hamna

Akina Celtic, Rangers huwa wanafanya vizuri Sana kwenye Ligi Yao lakn UEFA mbona inawashinda??

Tuache utoto tuuongelee mpira kama mpira propaganda za kipuuzi tuachane nazo hazitufikishi popote
Wakishinda hua Wanasema Simba tim kubwa Wasiposhinda Wanasema hamna malengo na ligi.
.
Au wamesahau Mwenyekiti wao alishasema wana mualiko wa kucheza ligi Zambia?
.
Hawa wanakasumba ya kuamin kuwa kitu cha nje ni bora kuliko cha ndani hasa pale wanapokikosa.
.
Hao wanaowaona ni wenzao au wanaoiita wenzao Al ahly, Mazembe, w/dad Mamelod nk huko kwao wanasumbua kweli kweli na wasipobeba mataji wanafkuza makocha.
.
Warjee kumbukumbu ya Pitson na Al Ahly ila kwakua wamezoe kutafta kichaka siwez kushangaa Giant must win trophies not less than that.
.
Tuendelee kufarijiana ila in reality Simba ni mwanafunzi wa kwanza kwenye wanafunzi waliofeli si kama ana akili ila ana akili kuliko wajinga wenzie akitoka nje ya Nchi
 
Well said
 
Tuweke historia na kimataifa pia
Yanga vs zanaco--away won.
Yanga vs River united- away won,
River vs Yanga --home won,
Yanga vs vipers- Away won,
Yanga vs Zalan --home won.
Zalan vs yanga- away won.
Yanga vs al hilal- drow.
Al hilal vs yanga -home won. Huku kimataifa red ziko nyingi kweli. Mkazane na uku utopolo record iwe nzuri zaidi.
 
Wa simba ni baadhi wana ujinga wa kupanick kila kitu. Kitu kidogo fukuza huyu kitu kifdogo fukuza yule
Ila bongo uigizaji tunaweza huwa naona aibu ya airtime wanayopewa washabiki team zikifungwa mixer kujiliza[emoji16]

Leo yanga lolote linaeweza mkuta Kelvin nashon kaamka salama
 
Bongo marefa wanahongwa na mwekezaji ili timu fulani isitoe droo au kufungwa, kuwa unbeaten inawezekana kabisa kwa mazingira hayo

Ni kweli hayo mambo ypo kwenye mpira we2 hasa Tz,,
Lkn sometym tuappreciate classic,, hta Simba kuna msimu miaka kadhaa nyuma washawahi chuku Ubingwa bila kufungwa asa cjui km marefa walikuwa wana hongwa
 
Kama ali hilal kawapiga nje ndani harafu unajitoa ufahamu unbeaten ni mavi mavi kama alivyo sema msemaji wenu
Hapana tunaamanisha timu za ndani kutufunga siyo za nnje[emoji23]
 
Ni kweli hayo mambo ypo kwenye mpira we2 hasa Tz,,
Lkn sometym tuappreciate classic,, hta Simba kuna msimu miaka kadhaa nyuma washawahi chuku Ubingwa bila kufungwa asa cjui km marefa walikuwa wana hongwa
This time around is too much,yaani hata asiye na macho anaona kabisa timu imebebwa live
 
313428381_186706687218904_5974273179738793480_n.jpg
 
Nafikiri sasa tutaongea lugha moja ya kwamba yanga kucheza michezo 44 bila kufungwa sio jambo jepesi kama wanavyodhani wale mbumbumbu, unatakiwa uwe na kikosi cha maana na kipana kufikia iyo rekodi.

Tumeona leo wazee wa pira litembee walivyoangukia pua mbele ya azam, baada ya kulegezwa na derby ya kariakoo uku wenzao jana wakifanya rotation ya kikosi na kuibuka na ushindi wa kibabe wao wazee wa pira litembee wakaona ufinyu wa kikosi chao isingekuwa rahisi kuzipumzisha bunduki zao na wakatoka salama wakaona waingie nazo hivyo hivyo na wakapasuka.

Tunaposema upana wa kikosi atumaanishi kuwa na rundo la wachezaji bali kuwa na wachezaji wanaoweza kufanya kile wanachofanya wale wanaoanza, Simba leo walitakiwa wafanye rotation ya wachezaji kutokana na energy kubwa waliyotumia kwenye derby lakini wameshindwa kufanya hivyo kutokana na kikosi finyu walichonacho.

Uchovu kwa wachezaji wao umeonekana dhahiri na Azam walitakiwa waondoke na goli si chini ya 3 kama sio kukosa umakini, Sasa yanga kakaa kileleni rasmi kuwatoa pale kwa gape la point 3 kwenye hii ligi ngumu labda liletwe tingatinga vinginevyo safari ndo imeanza rasmi ya kuretain ubingwa wao kwa mara nyingine, Taratibu gadiora mnene ataanza kutupiwa mawe
Kwa mtindo huu hata mia mtafikisha
IMG-20221031-WA0000.jpg
 
Unbeaten 44 inakuaje unashinda meche ya 2 kwenda makundi?ss
 
Back
Top Bottom