Siyo kila timu inaweza kwenda unbeaten mechi 44

Kwanini kwenye unbeaten run yenu hamihesabu mechi za CAF?
 
Wakishinda hua Wanasema Simba tim kubwa Wasiposhinda Wanasema hamna malengo na ligi.
.
Au wamesahau Mwenyekiti wao alishasema wana mualiko wa kucheza ligi Zambia?
.
Hawa wanakasumba ya kuamin kuwa kitu cha nje ni bora kuliko cha ndani hasa pale wanapokikosa.
.
Hao wanaowaona ni wenzao au wanaoiita wenzao Al ahly, Mazembe, w/dad Mamelod nk huko kwao wanasumbua kweli kweli na wasipobeba mataji wanafkuza makocha.
.
Warjee kumbukumbu ya Pitson na Al Ahly ila kwakua wamezoe kutafta kichaka siwez kushangaa Giant must win trophies not less than that.
.
Tuendelee kufarijiana ila in reality Simba ni mwanafunzi wa kwanza kwenye wanafunzi waliofeli si kama ana akili ila ana akili kuliko wajinga wenzie akitoka nje ya Nchi
 
Well said
 
Tuweke historia na kimataifa pia
Yanga vs zanaco--away won.
Yanga vs River united- away won,
River vs Yanga --home won,
Yanga vs vipers- Away won,
Yanga vs Zalan --home won.
Zalan vs yanga- away won.
Yanga vs al hilal- drow.
Al hilal vs yanga -home won. Huku kimataifa red ziko nyingi kweli. Mkazane na uku utopolo record iwe nzuri zaidi.
 
Wa simba ni baadhi wana ujinga wa kupanick kila kitu. Kitu kidogo fukuza huyu kitu kifdogo fukuza yule
Ila bongo uigizaji tunaweza huwa naona aibu ya airtime wanayopewa washabiki team zikifungwa mixer kujiliza[emoji16]

Leo yanga lolote linaeweza mkuta Kelvin nashon kaamka salama
 
Bongo marefa wanahongwa na mwekezaji ili timu fulani isitoe droo au kufungwa, kuwa unbeaten inawezekana kabisa kwa mazingira hayo

Ni kweli hayo mambo ypo kwenye mpira we2 hasa Tz,,
Lkn sometym tuappreciate classic,, hta Simba kuna msimu miaka kadhaa nyuma washawahi chuku Ubingwa bila kufungwa asa cjui km marefa walikuwa wana hongwa
 
Kama ali hilal kawapiga nje ndani harafu unajitoa ufahamu unbeaten ni mavi mavi kama alivyo sema msemaji wenu
Hapana tunaamanisha timu za ndani kutufunga siyo za nnje[emoji23]
 
Ni kweli hayo mambo ypo kwenye mpira we2 hasa Tz,,
Lkn sometym tuappreciate classic,, hta Simba kuna msimu miaka kadhaa nyuma washawahi chuku Ubingwa bila kufungwa asa cjui km marefa walikuwa wana hongwa
This time around is too much,yaani hata asiye na macho anaona kabisa timu imebebwa live
 
Kwa mtindo huu hata mia mtafikisha
 
Unbeaten 44 inakuaje unashinda meche ya 2 kwenda makundi?ss
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…