Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

Siyo kosa kama mtu anataka kumuondoa Samia 2025

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais.

Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means.

Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo.

Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa na watu wachache.

Pesa kidogo sana zinabakia kwa wale wengine.

Kwahiyo lazima itokee vita kupunguza idadi ya watu,ili pesa zitoshe.
 
Ni ngumu kumuondoa Samia kwa katiba hii.
*Yeye ndiye anamiliki dola.
*Yeye ndiye mwenyekiti wa chama tawala.
*Yeye ndiye anapitisha jina la mgombea wa chama tawala.
*Yeye ndiye anapitisha mgombea wa vyama vya upinzani (kupitia viongozi wa tume huru ya uchaguzi (ambao wanawajibika kwake). Akiwaagiza wakuwekee pingamozj hutoboi.

Anashindwaje kupita.
??
 
Kwamba lazima itokee vita kupunguza idadi ya watu Ili pesa zitoshe!!

Big Brain!!
 
Ukiwaza kuhusu maendeleo na hayo maendeleo yaletwe na samia utakua unatafuta kansa ya moyo.
 
Hata ukimtoa huyo Samia unamuweka nani kwa sasa. Wote waliokuwa wachapa kazi wakati akiwa makamu wa raisi kawatoa waliobaki kawafunga speed governor wapo wapo tu.

Watu pekee wenye uwezo wa kumsumbua aliowaacha wan’gare ndio hiyo mijizi isiyotosheka; sasa si bora huyo Samia aendelee tu.
 
Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais.

Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means.

Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo.

Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa na watu wachache.

Pesa kidogo sana zinabakia kwa wale wengine.

Kwahiyo lazima itokee vita kupunguza idadi ya watu,ili pesa zitoshe.
Tupo bega kwa bega na Mama mpaka atuuwe!!
 
Back
Top Bottom