Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Wanalitazama Sana but they don't give a shit since their brain filled with stomachs 😄HILO NALO MKALITAZAME
Hebu tupe mrejesho Bw IB una vitu simple Sana 😂Wasi kutishe Raha ya bhangi changanya na Viagra.
Niki ishia kusinzia tu😁Hebu tupe mrejesho Bw IB una vitu simple Sana 😂
Halafu unaona kama unabembea hutaki tabu everythings are damn alright (in cowboy voice)Niki ishia kusinzia tu😁
Sema nili sinzia Kwenye beseni😁Halafu unaona kama unabembea hutaki tabu everythings are damn alright (in cowboy voice)
Aaah sinzia tu bro humoSema nili sinzia Kwenye beseni😁
sawa mkuuAaah sinzia tu bro humo
Niko kwenye mdandamo kama kuku huku 😂😂
Ndio tuiteje udikteta au ubabe?Si walisema imeprintiwa form moja tu, afu printa wameivunja.
Tupo bega kwa bega na Mama mpaka atuuwe!!Kweli upo wa CCM kuhusu jambo hilo, lakini hakuna sababu ya kugombana na watu wanaoutaka urais.
Achilles heel ya Rais Samia ni kwamba anakopa sana hela, watu wanaishi beyond their means.
Hizi hela zote zinazokopwa, utafika wakati wa malipo.
Hiki ndicho chanzo cha vita. Pesa zote zinamilikiwa na watu wachache.
Pesa kidogo sana zinabakia kwa wale wengine.
Kwahiyo lazima itokee vita kupunguza idadi ya watu,ili pesa zitoshe.