Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Ila kwa nini maskini hatupendani? Tuko radhi kuchangia matajili.Askofu Dr Shoo kanunuliwa V8 brand new
Ni Ishara ya Upendo tu 🌹🌹
Huko kwenye Baiskeli umeenda mbali sana,Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Sidhani kama kuna mtu analazimishwa kuchangaIla kwa nini maskini hatupendani? Tuko radhi kuchangia matajili.
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya bossHuko kwenye Baiskeli umeenda mbali sana,
Kuna wengine hata kula yao ni ya tabu.
Ok kwahiyo litakua makumbusho kwa kumbukumbu? Na gari jipya atachangiwaNi kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..
Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Hahahahaha..na ni kwann watanzania wanapenda sana hizo za kuchangianaHao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Ukisikia unazima kwa jirani wakati kwako kunaungua,hiyo ndio tafsiri yake sasa.Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
1. UjingaHahahahaha..na ni kwann watanzania wanapenda sana hizo za kuchangiana
Unateseka BureMwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
sisi wanyonge Mwamba tunamnunulia mpya hayo maswali yako kamuulize jaji mkuu wa ccmKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike.
Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamuwa watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.