Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi TANU alikuwa Dereva wa Landlover ya TANU iliyopo pale Makumbusho

Tunajivunia sana hilo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sioni tatizo Gari ya Tundu Lisu kuwekwa Makumbusho nasi wenye Mapenzi mema tumeshamchangia ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐ŸŒน
Tena ni historia nzuri na kubwa
 
Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi TANU alikuwa Dereva wa Landlover ya TANU iliyopo pale Makumbusho

Tunajivunia sana hilo ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sioni tatizo Gari ya Tundu Lisu kuwekwa Makumbusho nasi wenye Mapenzi mema tumeshamchangia ๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜ƒ๐ŸŒน
Landrover lina matundu ya Risasi?๐Ÿผ.

Tundu Lissu analalamika matibabu yake hayajalipiwa?

Msaidieni huko, kwenye matibabu ya "Exposure Therapy" na Therapy nyingine zina gharama kubwa tu. Mchangishane tu. Nami sioni tatizo.

Ama atembee nalo hivyo hivyo basi.
Lakini makumbusho akayafanye pale Ufipa.
 
Swali ni kwamba,

Je kwa mfano sasa hivi Lisu akitaka kulitengeneza gari lake Bima itacover gharama kama wakati lilipotokea hilo tukio ilikua na bima?

Hili sio swali la kisiasa na ningependa lijibiwe na wataalamu wa masuala ya Bima tu.
Bima gani inakuwa valid kwa miaka 7 ? Hiyo gari ipo kituoni kuanzia mwaka 2017 September , ina maanisha bima yake ilikwisha siku nyingi sana
 
Wewe ndo una roho ya kimaskini๐Ÿšฎ
Unapenda kuchangiwa wakati unajiweza
Kama kuchangiwa ni hiari mbona mnaifanyia kampeni?

Tunawakumbusha watanzania wenzetu kua wanaibiwa akili kumkichwa!!

Watanzania bila kuwakumbusha akili zinakua zimelala
Usikute kuna mmoja katoka kuuza ng'ombe/kiwanja chake ili amtumie lissu hela
Kupitia post hii anaweza kughairi na hiyo hela akaitumia kupaua ghofu lake alilolitelekeza kwa kukosa hela ya kununua mabati.
Kwani wale wanaowachangia watarajiao kugombea nafasi za uongozi hata kabla muda wake haujafika na hawana uhakika wa kuteuliwa hawasemwi? Au kwa vile wanagombea nafasi za kisiasa? Kuchanga ni hiari wala si lazima. Kisha kuna watu wanabadilishiwa ma V8 kila leo wakati ni mazima kabisa nao unawaitaje?
 
Lissu inavyoonekana anafanya kile wataalam wanakiita "Exposure Therapy"

Wahanga wa matukio ya kupigwa risasi huwa wanafanyiwa therapy hio

Lissu ni mhanga wa kupigwa risasi.

Gari Jipya halitamsaidia kisaikilojia, labda kisiasa kama inavyo onekana.
Hiyo exposure therapy umeikariri naona hata ukilala unaiota. Umeirudia weee hadi unaboa sasa.
 
Back
Top Bottom