Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo baiskeli atanunua kwa tsh 1000 atakayo mchangia lissu? Kwani uneambiwa mchango ni laki 8? Acheni roho mbaya, mbona mnachangia wachungaji magari na hayo hayo wanayatumia kutombea wake zenu?Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Aliye nacho ataongezewa.Ila kwa nini maskini hatupendani? Tuko radhi kuchangia matajili.
Sawa mwenyekitti BAAWACHA endeleeni kumchangia bwana wenuGari ya Mwl ipo sehemu gani? shida nyie UWT hamnaga akili kabisa
Mwenge ni ushirikina tu, ni urithi mbaya aliotuachia Mzee Nyerere.Nimesema tuonyeshe Uzi uliowahi kuweka au kuchangia kuonyesha maumivu yako kuhusu michango ya shuruti ya mwenge, maana huu mchango wa hiari umekuumiza sana. Hicho kiherere cha kujua michango ya hiari kwa gari la Lisu, ungetumia kiherehere hicho hicho kujua michango ya shuruti ya mbio za mwenge.
Uhalisia ni Kwamba mnawanyonyoa masikini Kwa michango isiyokuwa na tija.Kuna maswali mengine na wewe kama yule polisi X anamtaka dereva wa lissu wakati sio muhusika wa wasiojulikana. Hiyo bima gani ulitaka ifanye kazi wakati mlitaka lissu afaraiki,mkazuia gari,mkutaka matibabu alafu hiyo bima ulitaka ishugulikiwe kama yule nesi, na dokta wa usingizi.
Bora tu kunyamaza
kanisani misikitini na kwa waganga huduma mnapewa bure tuanzie hapoUhalisia ni Kwamba mnawanyonyoa masikini Kwa michango isiyokuwa na tija.
Kwamba lissu Hana hela ya kununua gari Hadi achangiwe,
Kwamba Chadema haina hela ya kumnunulia lissu gari Hadi achangiwe.
Mnapinga umasikini uliosababishwa na CCM lakini mnaendekeza umasikini huohuo
Kwa maana hiyo Chadema mnauza hudumakanisani misikitini na kwa waganga huduma mnapewa bure tuanzie hapo
Kwakweli wanaochangia Wana moyoKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.