Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 95,871
- 116,627
Gari ya Mwl ipo sehemu gani? shida nyie UWT hamnaga akili kabisaMmewnzisha lini makumbusho ya kuhifadhi magari
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gari ya Mwl ipo sehemu gani? shida nyie UWT hamnaga akili kabisaMmewnzisha lini makumbusho ya kuhifadhi magari
Lakini ndio wapiga kura wengi na wanajeruhi maskini wenzao ili chama chao kishinde!Huko kwenye Baiskeli umeenda mbali sana,
Kuna wengine hata kula yao tu ni ya tabu.
Jengo jipya Dar.makumbusho ya Chadema yatakua wap ili watalii wafike kirahisi 🐒
Ni gari la kazi tu. Na kazi hiyo inawasaidia masikini pia. Unaweza usione hilo kama hufikiri sana.Ila kwa nini maskini hatupendani? Tuko radhi kuchangia matajili.
ofisi itahamishiwa wap kamanda 🐒Jengo jipya Dar.
Siasa zinahusu sana maisha ya watu. Siasa mbaya na maisha huwa mabaya siasa nzuri na maisha yatakuwa mazuri. Lisu anapigania siasa nzuri na kifaa cha kazi hiyo ni gari imara.Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Mama, kuchanga tsh 500, 1000, 2000, 5000, 10000.Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
jamani si mama anaupiga mwingi au mnasemajeHuko kwenye Baiskeli umeenda mbali sana,
Kuna wengine hata kula yao tu ni ya tabu.
EXTENDED HIGH SCHOOL PRODUCT!Ni mwalimu wa UDSM 🐼
Siasa Zina ngenga sana lo
Kuchanga wachange wengine uumie wewe kwani umelazimishwa huo ni uchuroMwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Kampeni ni shuruti? Au kwakuwa ni hiyari basi watu wasitiane hamasa?Wewe ndo una roho ya kimaskini🚮
Unapenda kuchangiwa wakati unajiweza
Kama kuchangiwa ni hiari mbona mnaifanyia kampeni?
Tunawakumbusha watanzania wenzetu kua wanaibiwa akili kumkichwa!!
Watanzania bila kuwakumbusha akili zinakua zimelala
Usikute kuna mmoja katoka kuuza ng'ombe/kiwanja chake ili amtumie lissu hela
Kupitia post hii anaweza kughairi na hiyo hela akaitumia kupaua ghofu lake alilolitelekeza kwa kukosa hela ya kununua mabati.
Unazungumziaje ile michango ya shuruti ya mbio za mwenge hata kwa watu wasio na imani na mwenge?Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Pande zote mbili ni matapeliUnazungumziaje ile michango ya shuruti ya mbio za mwenge hata kwa watu wasio na imani na mwenge?
Tuonyeshe bandiko lako ukiumuia kuhusu michango ya shuruti ya mbio za mwenge, maana huu mchango wa hiari umeonyesha kukuumiza sana.Pande zote mbili ni matapeli
Huo uzi sikuuona na kuhusu michango ya mwenge ndo kwanza nimesikia kwakoTuonyeshe bandiko lako ukiumuia kuhusu michango ya shuruti ya mbio za mwenge, maana huu mchango wa hiari umeonyesha kukuumiza sana.
Piga ua garagaza,Lissu lazima,and I repeat,lazima apate mkoko mpya!Na mimi naendelea kutembea kwa miguu hadi kieleweke.Kwani bei gani bwana?Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Nimesema tuonyeshe Uzi uliowahi kuweka au kuchangia kuonyesha maumivu yako kuhusu michango ya shuruti ya mwenge, maana huu mchango wa hiari umekuumiza sana. Hicho kiherere cha kujua michango ya hiari kwa gari la Lisu, ungetumia kiherehere hicho hicho kujua michango ya shuruti ya mbio za mwenge.Huo uzi sikuuona na kuhusu michango ya mwenge ndo kwanza nimesikia kwako