Sio kila uharibifu wa chombo cha gari, unafidiwa na bima, kuna mipaka,
Mfano kwenye bima za, Afya,ukipata madhara kwa kujaribu kujiua, au, kutumia madawa, ya, kulevya, au, kujichubua ngozi, bima haifidii,
Kwa, gari yq lisu, lile tukio,ni ajari ya chombo cha moto?katika matumizi, yake?LA hasha bro!
Nakumbuka, wakati tumeanzisha kampuni, 2005,tulikuwa na ma land cruiser kibao, mwezi, mmoja, gari mbili zikala mzinga! Written off, watu wa bima, kabla hawajilipa, walitaka waje wazione kwanza, waone report ya polisi,nk, kama driver alipiga mitungi, au kulikuwa na poor maintainance, hawalipi