kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
umeamua umtukaneKuuliza si ujinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
umeamua umtukaneKuuliza si ujinga!
Sawa kabisa bora aliyeomba kuliko wao wanaoibaacha upotoshaji kamanda,
muungwana ameomba kwa mdomo wake mwenyewe hadharini, licha ya wazo kutoka kwa wanaharakti wa Chadema 🐒
si amini kama unafanya makusudi Ben...
Ndio ameambiwa hiyo point wakati anakabidhiwa bahasha ya elfu 7 lumumba jana jioni.Hiyo exposure therapy umeikariri naona hata ukilala unaiota. Umeirudia weee hadi unaboa sasa.
Well Noted MkuuNi kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..
Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Kiimani zaidi 😃sadaka ya kujimaliza sio 🐒
Kwanini mkiandika ujinga mkajibiwa sawasawa na ujinga mlioandika mnasema CDM ni watu wa hasira? We uliandika nini cha kupendeza kwa ile comment?Nimeongea ukweli wangu ninaouamini
Siunajua chadema ni watu wa hasira! Basi wamenimalizia mimi😂
Mkuu hapo mwishoni umepita kama Pac kwenye Hit Em Up 😁
Linatengenezeka ila nimuhimu likatunzwa kwaajili ya kimbukumbuKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
We lazima utakuwa mchawiKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Kamusi gani inaeleza hapo kuna tusi!umeamua umtukane
Dr wa chuo gani wewe? tumesema tunaiweka kwenye museum kama ilivyo, sasa unaitengeneza tena? Dr wa chuo gani?Kama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima autapike.
Sasa na mimi namuenzi Lissu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamua watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Wapi wamelazimisha? Huu ushabiki wa vyama usikutoe ubinadamu,nina uhakika Lissu angekuwa mwanaccm usingekuwa na mtazamo huu. Ubinadamu kwanza,vyama vitapita lakini Tanzania itaendelea kudumu.Wanaomchangia samia sio vijana maskini ila ni hao wanaotaka teuzi, tena wamefanya kwa hiari yao
Ila Chadema wanaforce wapewe michango na watu wa vipato vyote
Hapo umenielewa Mzee?
Mimi sina chamaWapi wamelazimisha? Huu ushabiki wa vyama usikutoe ubinadamu,nina uhakika Lissu angekuwa mwanaccm usingekuwa na mtazamo huu. Ubinadamu kwanza,vyama vitapita lakini Tanzania itaendelea kudumu.
Ni mwalimu wa UDSM 🐼Dr wa chuo gani wewe? tumesema tunaiweka kwenye museum kama ilivyo, sasa unaitengeneza tena? Dr wa chuo gani?
Hakuna masikini anyelazimishwa, wewe Dr wa chuo gani? Unapowakamua masikini lita tsh 3,400 ya petrol mbona hujalisema hilo ambalo linagusa na kuwakamua masikini 60 millions?
Hii ni hiari, kama wewe ni masikini usitoe.
WEWE NI DR WA WAPI? CHUO GANI?
Hapo kwenye kutokuwa na chama unaweza usiwe mwanachama lakini unashabikia CCM maandiko yako humu yanakuelezea hivyoMimi sina chama
Nasema ninachoona ni sahihi kwangu
Nadhani ungeanza wewe ingependeza.Una uelewa wowote wa insurance policy? Vitu usivyovijuwa subiri wataalam wapo humu watafafanuwa.
Maandiko yangu kwenye uzi huu umekuonyesha nashabikia ccm lakini unaweza kufatilia nyuzi za nyuma na ukadhani nashabikia ChademaHapo kwenye kutokuwa na chama unaweza usiwe mwanachama lakini unashabikia CCM maandiko yako humu yanakuelezea hivyo
Pole mumyNimelia sana!