Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Chama hakiwezi kununua gari mpaka watu wamchangie?

Huyu jamaa nae anajitia aibu sana! Katibu wa chama hawezi kununua gari?

Bilionea Mbowe atoe hela akanunue gari ya Lisu.

Huu ni utapeli.
Mh. Samia hana milioni moja ya kuchukua fomu?
 
CCM nyie ni wajinga sn, hakuna sehemu Lisu kaomba kununuliwa gari, watu ndiyo wameamua kumnunulia gari na hiyo iwe ni kumbukumbu yake, mbona nyie mnachanga form ya uRais kila mara au maza hana milioni 1 ya form?
Wanaomchangia pesa ya fomu Samia malengo yao yanaeleweka ni matumbo yao tu, ila leo swali kwa makamanda hebu tuwekane sawa kwanza.
 
Swali ni kwamba,

Je kwa mfano sasa hivi Lisu akitaka kulitengeneza gari lake Bima itacover gharama kama wakati lilipotokea hilo tukio ilikua na bima?

Hili sio swali la kisiasa na ningependa lijibiwe na wataalamu wa masuala ya Bima tu.
Bima gani hao watalipa gharama? Hata wa kumsalia tu Lissu walikatwa.

Pia Hakuna bima ya terrorism. Ule ulikuwa ugaidi na haikuwa ajali.
 
Hivi ni busara kweli kukamuwa watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Kuna vitu vingine vinakera sema kufanyana wajinga pia SIO Jambo jema kabisa Gari inakosaje Bima kwa mfano na mfanano?
 
Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Mkuu mimi sina hata kigoda ila nimechanga. Humsaidii mtu kutafuta na huwezi mpangia mtu matumizi ya pesa, michango inasogea kama kawaida na gari atapata.
 
Mbona hauhoji majiz yanayotajwa na CAG kila mwaka unahoji watu kuamua kumchangia lissu kununua gari yan ninasema waziwazi siwapendi kbs majitujitu ya ccm siyapendi maisha yng yote ndiyo chanzo cha umaskini wa watanzania na maadui wa taifa hli.
 
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu

Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Ila sa100 kuchangiwa kuchukua fomu kwako ni shega tu mwanangu
 
Back
Top Bottom