Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Wewe ndo una roho ya kimaskini🚮
Unapenda kuchangiwa wakati unajiweza
Kama kuchangiwa ni hiari mbona mnaifanyia kampeni?

Tunawakumbusha watanzania wenzetu kua wanaibiwa akili kumkichwa!!

Watanzania bila kuwakumbusha akili zinakua zimelala
Usikute kuna mmoja katoka kuuza ng'ombe/kiwanja chake ili amtumie lissu hela
Kupitia post hii anaweza kughairi na hiyo hela akaitumia kupaua ghofu lake alilolitelekeza kwa kukosa hela ya kununua mabati.
Wapi Lissu ameomba kuchangiwa gari?
 
Landrover lina matundu ya Risasi?🐼.

Tundu Lissu analalamika matibabu yake hayajalipiwa?

Msaidieni huko, kwenye matibabu ya "Exposure Therapy" na Therapy nyingine zina gharama kubwa tu. Mchangishane tu. Nami sioni tatizo.

Ama atembee nalo hivyo hivyo basi.
Lakini makumbusho akayafanye pale Ufipa.
Hata likipaki nyumbani kwake ni kumbukumbu tosha watu wataenda Ikungi kuchota Baraka za Unabii šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚

Watu wanaenda Chato/Pemba kaburini itakuwa hapo Ikungi Makumbusho? šŸ˜‚šŸ˜‚šŸ˜‚
 
Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu

Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Relax.
 
CCM imeoza sana, yani ni kuwa haifai kabisa kushika dola tena. Miaka 45+ ya ccm inatosha kabisa coz hawana jipya tena, wamekalia ufisadi tu na kuhujumu uchumi.

Swali, badala ya ccm ni yupi hasa yupo tayari, mbona sioni..? .naona ushubwada tu huko chama kikuu cha upinzani.
 
Back
Top Bottom