jebs2002
JF-Expert Member
- Sep 3, 2008
- 9,604
- 8,812
Kweli...Kuuliza si ujinga!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli...Kuuliza si ujinga!
Vipi kuhusu kwa asiyenacho,hapo alisemaje?Yesu alisema " aliyenacho ataongezewa"
Una roho ya kimasinikini sn, hujalazimishwa acha watu wachange kwa hiari yao.Mwingine ni bodaboda tena boda ni ya boss
Anapiga domo hadi udenda unamtoka kuhamasisha wenzake wamchangie lissu
Ujinga wa hali ya juu, pangu pakavu hata mchuzi sina natia maji tena maji ya kisima halafu nimchangie tajiri!
Lissu akionesha bank statement yake sidhani kama anakosa hata 1B
Tofautisha Bima ya Ajali na tukio la gari kushambuliwa na majambaziSwali ni kwamba,
Je kwa mfano sasa hivi Lisu akitaka kulitengeneza gari lake Bima itacover gharama kama wakati lilipotokea hilo tukio ilikua na bima?
Hili sio swali la kisiasa na ningependa lijibiwe na wataalamu wa masuala ya Bima tu.
Ahsante kwa kujibu kwa kina, Ndugu Dr Matola PhD Nini mtazamo wako zaidi.Ni kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..
Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Ni kwamba Lissu alitaka Kulitengeneza hilo gari ikiwa ni pamoja na Kubadilisha muonekano wake..
Ila watu wakamshauri kuwa akitengeneza Gari hilo watakosa kuona kumbukumbu adhiim..
Ya maisha yake (Yaani kupigwa risasi), kwa hiyo wanaharakati wengi wakapendekeza Lisirekebishwe chochote ila anunue Jingine na Ndiyo maana Wanaharakati kama kina Maria wakaanzisha harambee maana kununua gari jingine halikuwa Wazo la Lissu
Hata kile kidogo "anachodhani "anacho atanyang'anywaVipi kuhusu kwa asiyenacho,hapo alisemaje?
Swali sahihi, kwa wakati muafakaKama alivyo Tundu Lisu yeye ni bahari hakai na uchafu lazima hautapike.
Sasa na mimi namuenzi Lisu kwa kusimama katika ukweli na nina swali naomba majibu, je gari ya Lisu haitengenezeki? Maana ninachojuwa engine haikupata madhara yoyote, je Lisu kama mwanamsheria msomi gari yake haina bima kubwa?
Hivi ni busara kweli kukamuwa watu maskini wakuchangie gari wakati wao hata baiskeli hawana? Je inawezekana vipi chama kikubwa kama Chadema kishindwe kumpatia gari Lisu? Maswali ni mengi hebu naomba wa ufafanuzi kwa haya kwanza.
Alisikika Mtanzania anayeichangia CCM buku jero kila mwezi anaponunua umeme na tozo kila anapofanya muamala wa simu huku hajawahi kupatiwa mapato na matumizi ya hizo fedha.Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Wewe ndo una roho ya kimaskini🚮Una roho ya kimasinikini sn, hujalazimishwa acha watu wachange kwa hiari yao.
Sisi hata mumeo akiomba mchango tuna mchangia, mbona nyie mnamchangia maza form ya 1M kwamba hana 1M? shame on youWewe ndo una roho ya kimaskini🚮
Unapenda kuchangiwa wakati unajiweza
Kama kuchangiwa ni hiari mbona mnaifanyia kampeni?
Tunawakumbusha watanzania wenzetu kua wanaibiwa akili kumkichwa!!
Watanzania bila kuwakumbusha akili zinakua zimelala
Usikute kuna mmoja katoka kuuza ng'ombe/kiwanja chake ili amtumie lissu hela
Kupitia post hii anaweza kughairi na hiyo hela akaitumia kupaua ghofu lake alilolitelekeza kwa kukosa hela ya kununua mabati.
Babu yangu Mzee Kamtawa aka Saidi TANU alikuwa Dereva wa Landlover ya TANU iliyopo pale MakumbushoLissu inavyoonekana anafanya kile wataalam wanakiita "Exposure Therapy"
Wahanga wa matukio ya kupigwa risasi huwa wanafanyiwa therapy hio
Lissu ni mhanga wa kupigwa risasi.
Gari Jipya halitamsaidia kisaikilojia, labda kisiasa kama inavyo onekana.
Kwani wale waliomchangia sa100 pesa ya kuchukulia fomu ya kugombea urais 2025 ni matajiri kumzidi?Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Kumbe una akili! Ila unajitoa ufahamuSisi hata mumeo akiomba mchango tuna mchangia, mbona nyie mnamchangia maza form ya 1M kwamba hana 1M? shame on you
UWT wote wangekuwa na akili kama wewe nchi ingepiga hatua kidogoTofautisha Bima ya Ajali na tukio la gari kushambuliwa na majambazi
Ni vitu viwili tofauti 😃😃