Siyo kwa ubaya, nauliza tu: Gari la Lissu halitengenezeki? Je, halikuwa na bima kubwa?

Hao ni wezi!
Watanzania wengi walivyo mbumbumbu watachanga hela
Mwingine hata baiskeli hana ila atamchangia Lissu
Hiyo baiskeli atanunua kwa tsh 1000 atakayo mchangia lissu? Kwani uneambiwa mchango ni laki 8? Acheni roho mbaya, mbona mnachangia wachungaji magari na hayo hayo wanayatumia kutombea wake zenu?
 
Mwenge ni ushirikina tu, ni urithi mbaya aliotuachia Mzee Nyerere.

Mtu mwenye akili timamu hawezi kuchangia mwenge hata uwe mfanyabiashara, labda wafanyabiashara magumashi wanachangia huo ushirikina ili wasisumbuliwe na mataahira maccm.
 
Maskini wengi kwenye nchi hii ni wanachama lialia wa CCM. Kwa utafiti wangu mdogo, vijana, wazee, wote ambao ni wanachama kindakindaki wa upinzani hasa chadema wengi ni wapambanaji wa uchumi wao. Wengi wameshajenga akili kuwa ukiwa mpinzani nchi hii unakuwa km yatima hivyo usipopigana vita ya kiuchumi ili ujitegemee kipato ni rahisi kuondolewa kwenye misimamo na mawazo chanya. Nenda vijijini uone, ukikuta mzee ni shabiki wa upinzani ujue anajiamini pia na back up ya uchumi hata km siyo wa kutisha.
Ukikuta kijana iwe mjini au kijijini ana mlengo wa upinzani lazima aidha ameenda shule au anajitegemea kipato.
Fanya utafiti huo huo kwa wazee wanaoshabikia CCM huko vijijini, hata pa kulala wengine ni shida, ukikuta kijana basi ujue ni mnufaika wa mfumo au elimu hamna.
Hivyo basi, wanaomchangia lissu hela wengi wanajitosheleza kielimu na kiuchumi. Na siyo mara ya kwanza kufanya hivyo, kumbuka wakati viongozi wa chadema walipohukumiwa kwenda jela ilihitajika Tsh. Ngapi na ilichangwa kwa muda gani
Kwenye; mwanachi wa kawaida
 
Uhalisia ni Kwamba mnawanyonyoa masikini Kwa michango isiyokuwa na tija.

Kwamba lissu Hana hela ya kununua gari Hadi achangiwe,

Kwamba Chadema haina hela ya kumnunulia lissu gari Hadi achangiwe.

Mnapinga umasikini uliosababishwa na CCM lakini mnaendekeza umasikini huohuo
 
kanisani misikitini na kwa waganga huduma mnapewa bure tuanzie hapo
 
Kwakweli wanaochangia Wana moyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…