Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Nilimlamba makofi mawili kisa alinidanganya huku mie nikijua kabisa ananidanganya na baada ya makofi mawili alikiri kuwa kweli alikuwa ananidanganya toka hapo hajawahi kunidanganya kwani ni utaratibu kabla ya kumuuliza kitu lazima nikifanyie utafiti kwanza kujua ukweli wake
 
Haka kamama kangu kana mdomo...ni kachangamfu na anajitahidi kuwa mke mwema. Siku moja kasikia habari kuwa natoka na msichana mmoja kazini...hazikuwa habari za kweli. Nikafika nyumbani usiku kakanirukia na kunikwida...aii...nikamnyanyua mzima mzima na kumbana ukutani, mikono yake nyuma. Nilimuangalia machoni na kusema "Please don't test me...." kakaanza kulia. Hajarudia 13 years now.
 
Mi tunazichapa vizuri tu mpaka unique ndo ugomvi utakuwa umeisha
 
😝😝😂 alisurrender kabla hujampiga
 
Libarikiwe tumbo lililokubeba.
 
Washamba washamba tu hao wa uswahilini, acha mazoea nao
 
Safi,alijifunza kitu
Aliniomba msamaha sana. Nilikaa siku 3 sijajibu, ni salamu na mengine, no stories. Nikamuita sehemu na kumueleza kuwa ni muhimu kuheshimiana bila hivyo yeye atalose na sio mimi. Ananiambiaga " hivi unajua we ni mkali wa chini chini". I'm a nice person ila sipendi ujinga.
 
Watumwa wa wanawake
 
Ungepata kesi mbaya ingekula kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…