Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜’hata mbwa koko hapigwi ivo...aisee
 
Nikifikiria kukaa gerezani hasira zanishuka, naachana na mpango wa kumpiga.
 
Na iwe ivo sikuzote
Maana saa zingine mnafanya mambo ya kutujaza hasira, sijui shetani ndo huwatuma?

Mtu unamuangalia kuanzia juu hadi chini, unacheka moyoni na kumuonea huruma, maana ngumi 1 ya kifua unaweza mfanya apate stroke...
Kofi 1 laweza mzimisha...

Unakaa unafikiria watoto, ndugu zako na zake, unaamua kukaa kimya tu na kujifanya mjinga
 
Mkong'oto no dawa nzuri huleta heshima ndani
 
Sure yaan
 
Mie mwanamke wangu akiongea ongea namwambia sitaki kelele akiendelea hapo ni vibao tu. Siku hizi kanyooka kelele hamna na akisikia sitaki kelele kimyaa
 
Alikua anaamini Anaweza kunifua[emoji23][emoji23] siku alizingua nlimpa kichapo Hadi akaita "Majiraniii Nakufaaa" Ila uzuri nilifunga geti vizur kbla cjaanza kazi...Asahvii aaaah burudaaniii + heshima.
Sa mbona uso wako umevimba?
 
Avatar yako huwa naifananisha na mwanamke mmoja wa humu anaitwa Katoto kazuri kama sijakosea.

Samahani lakini.
 
Ungepata kesi mbaya ingekula kwako
Enzi hizo sheria sio kali kama sahivi , hakuna kusajili alama za vidole , vitambulisho vya taifa walikuwa navyo wachache hivyo ningekimbia huko kijijini kujificha hakuna angenishika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…