Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Ilikuwa hatari tupu, maana nilipiga kofi mbili ikifuatiwa na mtama. Na alipokuwa chini nikakanyaga
😂😂😂😂😂😢hata mbwa koko hapigwi ivo...aisee
 
Nikifikiria kukaa gerezani hasira zanishuka, naachana na mpango wa kumpiga.
 
Na iwe ivo sikuzote
Maana saa zingine mnafanya mambo ya kutujaza hasira, sijui shetani ndo huwatuma?

Mtu unamuangalia kuanzia juu hadi chini, unacheka moyoni na kumuonea huruma, maana ngumi 1 ya kifua unaweza mfanya apate stroke...
Kofi 1 laweza mzimisha...

Unakaa unafikiria watoto, ndugu zako na zake, unaamua kukaa kimya tu na kujifanya mjinga
 
Mmeamkaje?

Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha..sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue...juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli,kiasi kwamba tukajua tukiamka atakuwa ameondoka.

Lakini cha ajabu tunamwona anaenda sokoni huku USO wake kauzungushia kanga nahisi jamaa alikuwa anapiga za uso tu yan vichwa kwa sana.( kimoyomoyo nikajisemea ...mwanamke mwenzangu anamoyo kweli).
Za chinichini nasikia kapigwa kisa anapenda kuwa na mashost so kati ya shost mmoja kamletea habari that mumewe anakula mama mchungaji...nadhani ile fikisha ujumbe kwa mume ndo iliyomponza..
Sijui alifikisha shingo ikiwa imerefushwaa!!!? Yaan daa.

Siyo lazima mtupige jaman,ivi kinachopelekea mpaka mnyooshe mkono kutupiga ni nn wakati kuelewana kwa maongez inawezekana?
Mkong'oto no dawa nzuri huleta heshima ndani
 
Maana saa zingine mnafanya mambo ya kutujaza hasira, sijui shetani ndo huwatuma?

Mtu unamuangalia kuanzia juu hadi chini, unacheka moyoni na kumuonea huruma, maana ngumi 1 ya kifua unaweza mfanya apate stroke...
Kofi 1 laweza mzimisha...

Unakaa unafikiria watoto, ndugu zako na zake, unaamua kukaa kimya tu na kujifanya mjinga
Sure yaan
 
Mie mwanamke wangu akiongea ongea namwambia sitaki kelele akiendelea hapo ni vibao tu. Siku hizi kanyooka kelele hamna na akisikia sitaki kelele kimyaa
 
Alikua anaamini Anaweza kunifua[emoji23][emoji23] siku alizingua nlimpa kichapo Hadi akaita "Majiraniii Nakufaaa" Ila uzuri nilifunga geti vizur kbla cjaanza kazi...Asahvii aaaah burudaaniii + heshima.
Sa mbona uso wako umevimba?
 
Wanawake wakati mwingine mdomo huwa unawazidi.Haujapanga kudunda mtu ila unaweza kumdunda tu.Sijawahi kukunja ngumi,kupiga teke wala kichwa.Ni mwendo wa makofi tu hadi alama inatokea.Ninyi wanawake ni wachokozi.Ila siku hizi anajua sipendi makelele.Utulivu umetamalaki.
Avatar yako huwa naifananisha na mwanamke mmoja wa humu anaitwa Katoto kazuri kama sijakosea.

Samahani lakini.
 
Back
Top Bottom