Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Si ndo ukimlazimisha anapiga za kichwa na kurusha mikono juu....Game lenyewe akitaka ni kupanda juu kuchomeka...pump mbili kamwaga ..umechubuka utajua wewe
Maana saa zingine mnafanya mambo ya kutujaza hasira, sijui shetani ndo huwatuma?Na iwe ivo sikuzote
Mkong'oto no dawa nzuri huleta heshima ndaniMmeamkaje?
Tulizoea wazee wa zaman wakijisifu kuwa kumpiga mwanamke ni kumnyoosha..sasa cha ajabu kumbe bado ipo hii issue...juzi kuna jirani yangu kapigwa night na mumewe yaan kipigo kweli,kiasi kwamba tukajua tukiamka atakuwa ameondoka.
Lakini cha ajabu tunamwona anaenda sokoni huku USO wake kauzungushia kanga nahisi jamaa alikuwa anapiga za uso tu yan vichwa kwa sana.( kimoyomoyo nikajisemea ...mwanamke mwenzangu anamoyo kweli).
Za chinichini nasikia kapigwa kisa anapenda kuwa na mashost so kati ya shost mmoja kamletea habari that mumewe anakula mama mchungaji...nadhani ile fikisha ujumbe kwa mume ndo iliyomponza..
Sijui alifikisha shingo ikiwa imerefushwaa!!!? Yaan daa.
Siyo lazima mtupige jaman,ivi kinachopelekea mpaka mnyooshe mkono kutupiga ni nn wakati kuelewana kwa maongez inawezekana?
Sure yaanMaana saa zingine mnafanya mambo ya kutujaza hasira, sijui shetani ndo huwatuma?
Mtu unamuangalia kuanzia juu hadi chini, unacheka moyoni na kumuonea huruma, maana ngumi 1 ya kifua unaweza mfanya apate stroke...
Kofi 1 laweza mzimisha...
Unakaa unafikiria watoto, ndugu zako na zake, unaamua kukaa kimya tu na kujifanya mjinga
Bila vibao utasumbuliwa lazima ajue sipendi ujingaAnaufyata
Sa mbona uso wako umevimba?Alikua anaamini Anaweza kunifua[emoji23][emoji23] siku alizingua nlimpa kichapo Hadi akaita "Majiraniii Nakufaaa" Ila uzuri nilifunga geti vizur kbla cjaanza kazi...Asahvii aaaah burudaaniii + heshima.
Avatar yako huwa naifananisha na mwanamke mmoja wa humu anaitwa Katoto kazuri kama sijakosea.Wanawake wakati mwingine mdomo huwa unawazidi.Haujapanga kudunda mtu ila unaweza kumdunda tu.Sijawahi kukunja ngumi,kupiga teke wala kichwa.Ni mwendo wa makofi tu hadi alama inatokea.Ninyi wanawake ni wachokozi.Ila siku hizi anajua sipendi makelele.Utulivu umetamalaki.
Sawasawa lakini.Avatar yako huwa naifananisha na mwanamke mmoja wa humu anaitwa Katoto kazuri kama sijakosea.
Samahani lakini.
Ataachwa ndio ila makwenz na kelbu lazma zihusikeUnaachana nae tu
Hivi, wanawake wangebarikiwa nguvu za kuweza kuwanyuka wanaume kwa idadi kubwa,dunia ingekuwaje?Ataachwa ndio ila makwenz na kelbu lazma zihusike
Wao wamepewa mdomo...ila Mungu katupa nguvu ya kuuziba huo mdomo...yote ni necha tu inahukumuHivi,wanawake wangebarikiwa nguvu za kuweza kuwanyuka wanaume kwa idadi kubwa,dunia ingekuwaje?
Enzi hizo sheria sio kali kama sahivi , hakuna kusajili alama za vidole , vitambulisho vya taifa walikuwa navyo wachache hivyo ningekimbia huko kijijini kujificha hakuna angenishikaUngepata kesi mbaya ingekula kwako
Ila wakipenda wanapenda haswaWashamba washamba tu hao wa uswahilini, acha mazoea nao
Let us agree to disagree mkuu!Hahahaha...!! Kama ni kitu kinachorekebishika kwa makofi mawili matatu, basi pia kinarekebishika kwa mabao mawili matatu mkuu.... Hahahahaha!!!!