Beesmom
JF-Expert Member
- May 30, 2016
- 17,202
- 28,732
- Thread starter
- #141
Hakuna necessary kwenye kumpa nakonzi mkeo.Just leave her basUnadhani walioweka adhabu ya viboko mashuleni ni wajinga? Kuna wanaoweza kuwahi shule bila kulazimishwa kwa kutambua umuhimu wa wao kuwahi. Kuna wanaowahi shule kwa kuogopa viboko. Alafu kuna kundi la mwisho ambalo hawaoni umuhimu wa kuwahi shule, hata kwa viboko.
Hivyo hivyo mpaka kwenye ndoa. Kuna wanaojiheshimu kwa kutambua umuhimu wa kujiheshimu, kuna wanaojehishemu kwa kuogopa reactions za wenza wao, na kuna ambao hawajiheshimu iwe kwa makofi au kukazwa vizuri.
Anyway, kila mtu afanye anavyoona inamfaa. It's the end that justifies the means.
NB; i don't support violence of any kind, except where necessary!