Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Siyo lazima umpige mke/mpenzi wako, mnaweza kuelewana kwa mazungumzo

Unadhani walioweka adhabu ya viboko mashuleni ni wajinga? Kuna wanaoweza kuwahi shule bila kulazimishwa kwa kutambua umuhimu wa wao kuwahi. Kuna wanaowahi shule kwa kuogopa viboko. Alafu kuna kundi la mwisho ambalo hawaoni umuhimu wa kuwahi shule, hata kwa viboko.

Hivyo hivyo mpaka kwenye ndoa. Kuna wanaojiheshimu kwa kutambua umuhimu wa kujiheshimu, kuna wanaojehishemu kwa kuogopa reactions za wenza wao, na kuna ambao hawajiheshimu iwe kwa makofi au kukazwa vizuri.

Anyway, kila mtu afanye anavyoona inamfaa. It's the end that justifies the means.


NB; i don't support violence of any kind, except where necessary!
Hakuna necessary kwenye kumpa nakonzi mkeo.Just leave her bas
 
Ni mawazo yako, na ni sawa pia, wala hujakosea mkuu.
Mimi nimezungumzia ugomvi wa kimahusiano kupishana maneno, kukerana pale mnapokua wapenzi/wanandoa ambavyo ndivyo hupelekea wapenzi au wanandoa wa kiume kuwapiga wenza wao.
Lakini pia, hakuna kiasi cha kipigo ambacho kitamfanya mwanamke mwenye tabia chafu awe na tabia nzuri, hata umpige mateke kama ya Chuck Norris, tabia chafu haitatoka pia..!!!
Akiamua kutobadilika hata upige kundv na kaa la moto wajisumbua
 
Na wanaume wasiojiheshimu kwenye ndoa je mkuu?Na wao wapigwe mangumi/mateke? Au wasiojiheshimu kwenye ndoa ni wanawake tu?
Mbona wapo wanaume wanatandikwa na wake zao vizuri tu mkuu?

Anyway, nimesema siungi mkono violence ya aina yoyote. Lakini pia I don't entertain stupidity!
 
Zitoke wapi tena baba....unakuwa ushalegeza viungo vya mwili na mdomo kwisha
Sema maneno yanahamia kwenye kuhamasisha dushe litelezee ndani kwa uzuri.... na milio ya kula muwa kama yote na vikwikwi vya hapa na pale na pumzi za puani na mdomoni kwa wakati mmoja
 
Sema maneno yanahamia kwenye kuhamasisha dushe litelezee ndani kwa uzuri.... na milio ya kula muwa kama yote na vikwikwi vya hapa na pale na pumzi za puani na mdomoni kwa wakati mmoja
Ndugu yanguuu....we acha tu
 
Niliwahi kupiga mara moja, nikasema sitakuja nirudie tena. Sikuweza kuadjust kipigo so ki ukweli mtoto wa watu alichezea kipondo.
 
Niliwahi kupiga mara moja, nikasema sitakuja nirudie tena. Sikuweza kuadjust kipigo so ki ukweli mtoto wa watu alichezea kipondo.
Maskini mke mwenzangu....kwahiyo ukapiga kweli!?
 
Hahahahaha....!! Unakubalije mumeo awe na vuzi refu na wewe upo?
Unalinyoa vizuri, halafu mnakoga wotebaada ya hapo unacheza na mic[emoji23][emoji23]
Si ndo ukimlazimisha anapiga za kichwa na kurusha mikono juu....Game lenyewe akitaka ni kupanda juu kuchomeka...pump mbili kamwaga ..umechubuka utajua wewe
 
Back
Top Bottom