Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Nilikuwa na sababu zangu kukukwambia hata siasa hujui.Hapo ndiyo unapojipotosha! Hoja ya sovereignty ndiyo ina hold water na mahakama imejiridhisha. Kulinganisha na EU unakwenda chaka zaidi nakushauri jielimishe zaidi vinginevyo wewe ndiye unaleta ubishi wa kitoto!
Sidhani katiba ya UAE umeisoma au unaielewa vizuri zaidi kuliko mahakama!
Shida yenu mnakaririshwa wakati hata basic knowledge ya discipline husika hamna.
Umekazana tu na Sovereignty ya nchi, sijui kwa definition ya Montevideo na mambo mengine yasiyo na kichwa wala miguu. Kukusaidia tu wao pia wanaangalia katiba ya nchi inasemaje kama ni union states.
Katiba ya UAE yenyewe inatambua members ni states (nchi). Federal Constitution or Supranational treaties itaelezea what is centralised (union matters) na yepi individual states inaweza amua.
Kwa katiba ya UAE ‘part seven’ page 42 hapo inaelezea union matters (ambayo ni central yanataka collective bargain) and devolved matters ambazo individual emirates inaweza fanya at small scale na nchi nyingine au regions kwa baraka za federal court.
Sasa ukienda kwenye federal consitution yeyote utakuta hayo mambo, similar kwenye supranational union. Dubai inaweza ingia makubaliano yanayohusu nchi yao.
Serikali imeshaeleza yote hayo shida kuna watu kama nyinyi mnasikilizala ropo-ropo za kina Tibaijuka na wanasheria uchwara huko kwenye social media zenu; mnaaminishana ujinga na uongo. Halafu mkitoka hapo mnaanza kutukana ohoo nchi imeuzwa wakati upuuzi mtupu.
Hovyo kweli
👋