masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,207
- 13,839
Ni watoto wa juzi tu hawafahamu siasa za Zanzibar, na sasa zimesha spillover huku kwetu Tanganyika.Mbona Amaani karume alipewa hayo madaraka wakati na yeye pia ni mix blood au wewe hujui kuwa Amaani karume ni mix blood?
Amaani ni Karume, na baba yake walishiriki kupindua Uarabu huko Zanzibar. Abeid Karume yumo kati ya watu waliouwawa kwa kisasi cha mapinduzi.
Usisahau walikuwemo washirazi kina Thabit Kombo.
Siasa za Zanzibar hadi kesho ni controversial..
Mzanzibari yeyote mwenye asili ya kuchanganya na uarabu anajinasabisha na uarabu kwanza na si Utanganyika wake.
Hilo lipo hata leo.
Mama Samia alidhirisha hilo kwa kuwatembelea "wajomba" zake muda mfupi baada ya kupata madaraka.
Walicho mwambia afanye hao wajomba zake kitabaki kuwa siri yao.