Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Nani kapigwa bunduki kwa sababu ya siasa. Ukihamasisha fujo hizo sio siasa utashugulikiwa na polisi popote si hata Donald Trump amefunguliwa charges hizo US.Mkuu sisa hatufundishani mitandaoni, siasa nihisia, ni maslahi ni madaraka.
Sasa ukitukanwa basi unakimbilia bunduki ujue siasa huiwezi.
Namkumbuka Mwalimu, aliweza kuwatukana hata wakoloni, nao walimwelewa fika.
Ukiingilia national interest issues kwa lengo la sabotage utashughulikiwa popote duniani.
Ebu fuatilia siasa za Lissu leo; keshaelewa ukin’gatwa na nyoka, nyasi zikitikisika tu unastuka. Siku hizi karudi kwenye porojo tu anajua mipaka yake.
Lissu mwenyewe kwenye hilo group la kina Dr Slaa kuna siku aliingia wakati wanapanga mipango yao, akawaambia ukweli hampo realistic wacha wamrarue baada ya hapo akawapotezea na kukaa nao mbali.
Shida sio kukoselewa, isipokuwa watu kushindwa kuelewa mipaka, ushasikiliza Lissu akianza kuwaponda CCM majukwaani huwa anaanzia kwa Mwinyi mpaka ‘Bi Tozo’ na polisi wanamlindia mkutano wake.
Hao hakina Mwabukusi wanajifanya wajuaji ndio maana Lissu hata mkutano wao wa Temeke akajiendea Belgium asiwepo live maana anaelewa hoja zao zinaweza mletea shida ambazo hazina ulazima kwa upande wake na CDM kwa ujumla.