Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Kwanza kabisa IGA ni sheria ndio mantiki ya kufanya ratification/domestication swala ambalo huyo Mwabukusi hajui kwamba hiyo IGA ishakuwa domesticated.Serikali imegundua imefanya kinyume cha sheria na ndiyo sababu imeamua kupeleka bungeni muswada wa amendment katika kikao kijacho ili kuhalalisha ufedhuli wao! Uliona wapi mkataba unasainiwa halafu Sheria ya kuhalalisha inafuata!
Kuhusu gharama za kesi Mwambukusi and co. walianza kwa fedha zao baadaye wananchi wakawaunga mkono kwa kuwachangia ingawa mahakama imeamua mlalamikiwa na mlalamika wajigharimie wenyewe!
Leo hii mawakili wenzake wa Mwambukusi wame- file request for appeal kwa gharama zao na wanaowaunga mkono. Kwa hiyo gharama za kesi siyo issue wananchi watagharimia.
Chadema haijawatenga na ndiyo sababu Mdude yupo nao bega kwa bega, ulitaka viongozi wote wa Chadema wahamie Mbeya?
Pili sheria aiwezi kwenda kinyume na katiba sio sheria nyingine iliyopo. Kwa kanuni za ‘constitution theory’ on ‘implied repeal rule’ sheria zote kutoka bungeni ni sawa kwa hivyo kilichomo kwenye sheria mpya kama kina kinzana na sheria iliyopo; kilichoelezwa kwenye sheria mpya kina replace sheria ya awali ndio maana wanafanya amendements.
Gharama za kesi zinachangishwa kupitia platform gani ya wananchi?