Mayor Quimby
JF-Expert Member
- Mar 13, 2021
- 4,950
- 10,977
Ushasema huna imani na jeshi la polisi hizo ni opinion sio facts. Inawezekana ni kutokana legit concerns na past experience yako, but still not fact kwa sakata husika...kwa rekodi ya hivi karibuni ya jeshi letu la Polisi mimi naamini hakuna kesi ya uhaini.
..wewe mwenzangu unatoa wapi imani kwa jeshi la polisi ambalo Kingai ndio DCI?
Nonetheless ujajibu maswali yangu ili nione concerns zako zina merit.
Kwanini Dr Slaa kaingizwa kwenye hiyo kesi, kwanini mdude alijificha wakati anatafutwa Mbeya akatoroka usiku na kukamatiwa mikumi, ni ushahidi gani wa ‘alibi’ ulionao wewe kusema wanasingiziwa na unakindhana na police evidence katika kesi husika?