Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni swala la msingi.Kwa elimu yake ya kuungaunga ilikuwa ni lazima agote. Uongozi siyo ving'ora bali akili ya kuzaliwa nayo (uongozi mtu anazaliwa nao).
Mwambieni ukamataji wa watu manane ya usiku hautaleta utulivu nchini
Kama hauoni anavyolikoroga basi umevaa miwani ya mbaoanalikoroga wapi? wapuuzi wachache lazima washughulikiwe
Kwa akili yako bila hata kwenda darasani unategemea mama yule anayo akili ya kuongoza nchi!!!Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.
Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.
Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.
Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.
2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
Rais wa awamu ya 5 ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchini Tanzania. Huyu wa sasa ni Dikteta Uchwara.Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.
Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.
Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.
Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.
2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
*Nobody will vote for the vampire, never, they will lock up everybody and remain standing glaring at the disguised confrontation amid a souring atmosphere pitting fire...............respect subordinates for superiority to be elevated short of that perseverance goes off control.Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.
Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.
Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.
Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.
2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.
Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.
Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.
Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.
2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
Chaguo la Mungu, mpenda maridhiano, ana ngozi ngumu, msikivu......Toa upumbavu hapa,narudia kuwaambia wanaoweza kuona ubaya ya ubinafshwaji ni wafanyabiashara so long as wanaunga mkono kulingana na kero wanazopata basi uzushi wenu ni ujinga tuu.
Nyie kenge wengine ambao hamjawahi tumia hata Bandari hakuna atakaye wapa attention mkileta fyoko fyoko mtanyooshwa na watu wako kimyaaa mtaani maisha yanaendelea.
Nawakumbusha tuu,kosa alilofanya Mwendazake ni kuleta ujamaa wake kwenye uchumi ila angekomaa na kuwanyoosha nyie Wanasiasa mbuzi Wala kusingekuwa na shida Sasa mama anajua kikubwa uchumi hakuna mtu ana habari na siasa Tanzania hapa.
Na Kwa taarifa Yako tuu Africa Kiongozi kuwashughulikia wapinzania haijawahi kuwa tatizo kuanzia Egypt, Senegal,Zimbabwe Hadi Rwanda nk kote mnapelekewa moto na maisha yanaendelea.
Msilete dharau Kwa KiongoziChaguo la Mungu, mpenda maridhiano, ana ngozi ngumu, msikivu......
Endelea.
Sema wewe mwanaccm wakisema chadema wanaambiwa ni wahainiBaada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.
Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.
Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.
Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.
Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.
2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
Sawaa mpuuzi tumekusoma.analikoroga wapi? wapuuzi wachache lazima washughulikiwe
Enzi za Jpm ulikuwa mlalamikaji namba moja leo unafanya makosa yale yale ya SabayaNaunga mkono mkubwa sana mama kuwashughulikia wapuuzi wote
Ila unamkataa Magufuli?Naunga mkono mkubwa sana mama kuwashughulikia wapuuzi wote
Nilikuwa namlalamikia the way ana handle uchumi na sio siasa uchwara.Enzi za Jpm ulikuwa mlalamikaji namba moja leo unafanya makosa yale yale ya Sabaya
Mmh sisi wa shula za kata ngoja tutafute google translator*Nobody will vote for the vampire, never, they will lock up everybody and remain standing glaring at the disguised confrontation amid a souring atmosphere pitting fire...............respect subordinates for superiority to be elevated short of that perseverance goes off control.
Sasa mbona mko bize na siasa wakati uchumi uko hoi?Nilikuwa namlalamikia the way ana handle uchumi na sio siasa uchwara.
Na nimeongea mara nyingi kwamba Kwa Africa ,Ukiwa dikteta usi compromise Uchumi na Biashara Wala hakuna shida,hili somo Samia analijua mtapiga makelele wewe lakini watu watakuwa busy kutafuta pesa tuu.
Namkataa Magufuli Kwa sababu alikuwa hajui ki handle uchumi huo ndio ugomvi wangu nae ila sio siasa uchwara.Ila unamkataa Magufuli?
Lazima utakuwa na utaahira mwingi mno
Ili neno "Mama" lanini kwani? Pale juu kuna Rais sio Mama jaman!Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.