Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

Sasa mbona mko bize na siasa wakati uchumi uko hoi?
Uchumi upi ambao uko hoi? Umewahi sikia Serikali imeshindwa Kuajiri au miradi imesimama au biashara haziendi au wakulima hawana soko? Uchumi gani ulioko hoi? Kuna mahala umesikia mfanyabiashara kaporwa pesa yake?
 
Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.

Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.

Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.

Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.

Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.

2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.
CCM Wameshapanic hawatoboi. Kila mtanganyika analijua hilo
 
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
We sukuma gang, subirini yule shetani wenu atafufuka, mwacheni mama yetu anaupiga mwingi. Kinachowasumbua wivu na hsda, mlifikiri angshindwa, huyu mama ni level nyingine, yule marehemu wenu mpaka leo angeishiwa nguvu nchi ingekuwa pabaya sana. Ila tunamshukuru Mungu kuipenda sana nchi yetu.
 
Fanya ziara ya mijadala inayoendelea kwenye Twitter Spaces na Clubhouses ndio utaelewa hatua za jeshi la polisi.

Jamaa kule wasipobadili tabia muda sio mrefu wataelewa bora vitisho vya Magufuli vilivyowaogopesha na kubaki kutunga uongo mitandaoni; kuliko maza aliewapa uhuru wenyewe wakapitiliza mpaka kulichokoza jeshi la polisi.

Mambo mengine watu wanajitakia
 
Toa upumbavu hapa,narudia kuwaambia wanaoweza kuona ubaya ya ubinafshwaji ni wafanyabiashara so long as wanaunga mkono kulingana na kero wanazopata basi uzushi wenu ni ujinga tuu.

Nyie kenge wengine ambao hamjawahi tumia hata Bandari hakuna atakaye wapa attention mkileta fyoko fyoko mtanyooshwa na watu wako kimyaaa mtaani maisha yanaendelea.

Nawakumbusha tuu,kosa alilofanya Mwendazake ni kuleta ujamaa wake kwenye uchumi ila angekomaa na kuwanyoosha nyie Wanasiasa mbuzi Wala kusingekuwa na shida Sasa mama anajua kikubwa uchumi hakuna mtu ana habari na siasa Tanzania hapa.

Na Kwa taarifa Yako tuu Africa Kiongozi kuwashughulikia wapinzania haijawahi kuwa tatizo kuanzia Egypt, Senegal,Zimbabwe Hadi Rwanda nk kote mnapelekewa moto na maisha yanaendelea.
Hoja yako hapa ni nini?

Kiongozi anauza rasilimali za nchi watu wakae kimya!

Hata kama ni uchawa basi imepitiliza na sasa ni ufunza!
 
Unatetea ujinga, yani ni sawa na baba kafariki kisha unapambana na mama wa kambo anayepanga kuuza shamba la familia ilihali linawasaidia kuendesha maisha halafu atumie polisi kukukamata ili ukitaka kuzuia hio biashara kwa interest za wadogo zako.

Wewe uta side na mamako wa kambo kuwasaliti ndugu zako wengine eti sababu kwenye millioni atakazouza atakupa million 1 kama bakshishi?
km yule shetani ndio babako mfuate aliko anaongoza malaika we kajiunge nao, shenz type
 
Fanya ziara ya mijadala inayoendelea kwenye Twitter Spaces na Clubhouses ndio utaelewa hatua za jeshi la polisi.

Jamaa kule wasipobadili tabia muda sio mrefu wataelewa bora vitisho vya Magufuli vilivyowaogopesha na kubaki kutunga uongo mitandaoni; kuliko maza aliewapa uhuru wenyewe wakapitiliza mpaka kulichokoza jeshi la polisi.

Mambo mengine watu wanajitakia
Kuongea ukweli au kutoa maoni ni kupitiliza, huu ni msiba kwa Taifa!
 
Baada ya kipindi cha Magufuli Awamu ya Tano, alipoingia mama Samia , wengi tulivuta pumzi ya uafadhali kisiasa. Pamoja na kuwa mwana CCM, Awamu ya Tano iliyokuwa a One Man Show, kila tu alikula mboko.

Sasa tunaona mambo yanataka kujirudia tena. Power has gone to the head, mama hasikilizi ushauri ulio wazi.
Sina haja ya kurudi kwenye saga la DP World, wamesema wengi. Wamo wanasiasa, wataalam, wapinzani, but the lady is not for turning.

Sasa tunarudi kule kule kwenye machungu ya Awamu ya Tano. Ubambikaji kesi nzito nzito ili kuzima mihemuko ya kisiasa umerudi. Wasiojulikana wamerudi. Watu sasa wanawekwa ndani kwa kesi za kufikirika. Hii hali haiwezi kuwa endelevu kisiasa. Hata mtu ukifanya vizuri watasema tu.

Kwa nini tumefikia hapa? Inaelekea kuna makubwa zaidi yua ya hii saaa Dp World, lakiini tutazame mbele. Wengi tunapenda uwekezaji, lakini kwa masharti ya Taifa letu. Hilo ni bottom line. Na niwe mkweli tu, sakata la DPW mama Samia limemuondolea umaarufu wa kisiasa.

Mama inabidi aende retreat, awe na washauri wake wa kisiasa na ni vema akajitazama kwenye kioo hicho cha kisiasa.

2025, tunataka kumpa mama Samia kura za uhakika, si kura za kubebwa kwenye rambo na viriba na wasiojulikana. Mama Samia alianza vizuri, kwa sasa hivi analikoroga.

Ikitokea Rais Samia akafuata nyayo za Magufuli (RIP), hali itakuwa tete sana. Asifike huko
 
Hoja yako hapa ni nini?

Kiongozi anauza rasilimali za nchi watu wakae kimya!

Hata kama ni uchawa basi imepitiliza na sasa ni ufunza!
ameuza shamba la babu yako? Acha uzwa uzwa, hakuna kilichouzwa, huo uzushi mplekee mamako, ngedere we
 
Kuongea ukweli au kutoa maoni ni kupitiliza, huu ni msiba kwa Taifa!
Wewe kama sehemu ya wakenya sijui wanyarwanda mnaojaza watu upepo kule mtaumiza watoto wa watu.

Bora ya hawa kina Mwakabusi, Madeleka, Dr Slaa na wengineo ambao wakitoka huko wanapiga makelele barabarani wanaweza pata ata kesi.

Wengine wanaotaka kujiingiza kwenye mikumbo ya upepo mnaojazana kule, sijui yetu wengine macho tu.
 
Kaa kimya kama huna hoja za kujadili, nchi hii ni yetu sote!
 
Back
Top Bottom