Siyo siri Rais Samia alianza vizuri, sasa analikoroga

Kwa elimu yake ya kuungaunga ilikuwa ni lazima agote. Uongozi siyo ving'ora bali akili ya kuzaliwa nayo (uongozi mtu anazaliwa nao).

Mwambieni ukamataji wa watu manane ya usiku hautaleta utulivu nchini
Hili ni swala la msingi.
Mama Samia inabidi ajitafaari kwa makini.
 
2025 haitaji kura zetu atatumia polisi na Watanganyika watamuachia Mungu
 
Kwa akili yako bila hata kwenda darasani unategemea mama yule anayo akili ya kuongoza nchi!!!

Wanaoongoza nchi ni wengine yeye ana tawala nchi tu.
 
Rais wa awamu ya 5 ndiyo Rais bora kuwahi kutokea nchini Tanzania. Huyu wa sasa ni Dikteta Uchwara.
 
*Nobody will vote for the vampire, never, they will lock up everybody and remain standing glaring at the disguised confrontation amid a souring atmosphere pitting fire...............respect subordinates for superiority to be elevated short of that perseverance goes off control.
 

End justifies the beginning
 
Chaguo la Mungu, mpenda maridhiano, ana ngozi ngumu, msikivu......

Endelea.
 
Sema wewe mwanaccm wakisema chadema wanaambiwa ni wahaini
 
Enzi za Jpm ulikuwa mlalamikaji namba moja leo unafanya makosa yale yale ya Sabaya
Nilikuwa namlalamikia the way ana handle uchumi na sio siasa uchwara.

Na nimeongea mara nyingi kwamba Kwa Africa ,Ukiwa dikteta usi compromise Uchumi na Biashara Wala hakuna shida,hili somo Samia analijua mtapiga makelele wewe lakini watu watakuwa busy kutafuta pesa tuu.
 
Mmh sisi wa shula za kata ngoja tutafute google translator
 
Sasa mbona mko bize na siasa wakati uchumi uko hoi?
 
Ila unamkataa Magufuli?

Lazima utakuwa na utaahira mwingi mno
Namkataa Magufuli Kwa sababu alikuwa hajui ki handle uchumi huo ndio ugomvi wangu nae ila sio siasa uchwara.

Watu wanaleta uzushi na taharuki uwachekee wa nini?

Na nimewaambia siku nyingi kwamba political brutality Africa sio shida so long as Uchumi is doing well,mifano Iko Mingi sana na wewe unajua.

Magufuli alikuwa anagombana na Kila mtu worse enough wawekezaji na wafanyabiashara.
 
Ili neno "Mama" lanini kwani? Pale juu kuna Rais sio Mama jaman!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…