Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Nyie endeleeni tu na ma azory gwanda na masaa nane yenu 😂😂. Vitu wala havina uhusiano mzuri. Huku ni wapinga maendeleo huku ni kazi na maendeleo. Ukiwa chadema lazima uwe zezeta fulani😂😂😂
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Kwani Ben Saanane alikuwa ana kosa gani?
 
Hakujua huyo, mhurumie 🤣🤣🤣
 
Alitaka tu Kujua ukweli wa 'Kitaaluma' hasa juu ya Andiko ( Thesis / Dissertation ) la Mzuia CORONA Mwandamizi Tanzania nzima na Mpenda Kwao.
Hilo jina Mpenda kwao limemfaa sana kwa kipindi hiki.
Awasamehe tu,awaachilie.......vinginevyo litamtafuna.
Mungu hadhihakiwi.
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Nimesali RC, Anglican, na Moroviana. Nimepita wakati wa ibada karibu na misikiti, makanisa ya KKKT na SDA, sijawahi kusikia matamko makali ya 'SHETANI TOKA, TOKA, TOKA' kama ambavyo nayasikia nikipiga karibu na makanisa ya kilokole. Kupitia kwako nimejua kumbe hawa wanaotaka kuombewa ni mashetani na ndio kila siku ya ibada wanafukuzwa kwa kuambiwa shetani toka.
 
Umenena vyema sana.Asante.
 
Uoni aibu kuandika huu utopolo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…