Moja alihoji tu zilipo nyaraka alizohitaji kuondoa dukuduku lake(kujiridhisha) zaidi kuhusu utata uliojitokeza(nyaraka zinazotakiwa kupatikana ambazo siyo za SIRI) na mwingine kutekeleza jukumu lake LA kuihabarisha,kuielimisha na kuiwezesha kupata ukweli wa kilichokuwa kinatokea(MKIRU) kuhusu maafa.Hawa Watanzania wenzetu hawakuwa wahalifu ila hawakusamehewa lakini wezi,wabadhirifu,walaRUSHWA wa awamu hii waweza kusamehewa endapo watamfurahisha Mzee Baba(Sheria/Kanuni za Uwajibikaji zimekosa kuzingatiwa).
Tudai Katiba ya Wananchi ili tufanye mabadiliko ya kiutawala/kiuongozi yenye Tija kwa wananchi nakuzuia Uharibifu wa Maadili uliokithiri.