Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Nyie endeleeni tu na ma azory gwanda na masaa nane yenu 😂😂. Vitu wala havina uhusiano mzuri. Huku ni wapinga maendeleo huku ni kazi na maendeleo. Ukiwa chadema lazima uwe zezeta fulani😂😂😂
 
Hivi Mtu ambaye nina 'Followers' karibia 70 hapa huku ID yangu ikiwa inafuatiliwa na Kusomwa 24/7 na Wasaidizi wa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Yeye pia Usiku, Msemaji wake pale Mjengoni Msigwa pamoja na wa nchi Dk. Abbas, CDF Mabeyo, Poti ( Mwetu ) wangu mwenyewe wa 'Kizanaki' IGP Sirro na karibia 50% ya Wafanyakazi wa 'Eagle Wing House' hasa Bosi wao Mpare ( japo hata Bosi wao aliyeondolewa Mchungaji Kitambi ) alikuwa 'akiikodolea', huku hapa JF ikiwa ndiyo ID inayopendwa Kufuatiliwa na 'Intelligent JF Members' naweza Kusubiria ipate 'hype' kutoka kwa Mpumbavu Mwandamizi ( Popoma Uliyetukuka ) kama Wewe?

Cc: Mkaruka
Hakujua huyo, mhurumie 🤣🤣🤣
 
Alitaka tu Kujua ukweli wa 'Kitaaluma' hasa juu ya Andiko ( Thesis / Dissertation ) la Mzuia CORONA Mwandamizi Tanzania nzima na Mpenda Kwao.
Hilo jina Mpenda kwao limemfaa sana kwa kipindi hiki.
Awasamehe tu,awaachilie.......vinginevyo litamtafuna.
Mungu hadhihakiwi.
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Nimesali RC, Anglican, na Moroviana. Nimepita wakati wa ibada karibu na misikiti, makanisa ya KKKT na SDA, sijawahi kusikia matamko makali ya 'SHETANI TOKA, TOKA, TOKA' kama ambavyo nayasikia nikipiga karibu na makanisa ya kilokole. Kupitia kwako nimejua kumbe hawa wanaotaka kuombewa ni mashetani na ndio kila siku ya ibada wanafukuzwa kwa kuambiwa shetani toka.
 
Moja alihoji tu zilipo nyaraka alizohitaji kuondoa dukuduku lake(kujiridhisha) zaidi kuhusu utata uliojitokeza(nyaraka zinazotakiwa kupatikana ambazo siyo za SIRI) na mwingine kutekeleza jukumu lake LA kuihabarisha,kuielimisha na kuiwezesha kupata ukweli wa kilichokuwa kinatokea(MKIRU) kuhusu maafa.Hawa Watanzania wenzetu hawakuwa wahalifu ila hawakusamehewa lakini wezi,wabadhirifu,walaRUSHWA wa awamu hii waweza kusamehewa endapo watamfurahisha Mzee Baba(Sheria/Kanuni za Uwajibikaji zimekosa kuzingatiwa).
Tudai Katiba ya Wananchi ili tufanye mabadiliko ya kiutawala/kiuongozi yenye Tija kwa wananchi nakuzuia Uharibifu wa Maadili uliokithiri.
Umenena vyema sana.Asante.
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Nyundo🤣
IMG_20200924_231228.jpg
 
Hivi Mtu ambaye nina 'Followers' karibia 70 hapa huku ID yangu ikiwa inafuatiliwa na Kusomwa 24/7 na Wasaidizi wa Mshindi wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, Yeye pia Usiku, Msemaji wake pale Mjengoni Msigwa pamoja na wa nchi Dk. Abbas, CDF Mabeyo, Poti ( Mwetu ) wangu mwenyewe wa 'Kizanaki' IGP Sirro na karibia 50% ya Wafanyakazi wa 'Eagle Wing House' hasa Bosi wao Mpare ( japo hata Bosi wao aliyeondolewa Mchungaji Kitambi ) alikuwa 'akiikodolea', huku hapa JF ikiwa ndiyo ID inayopendwa Kufuatiliwa na 'Intelligent JF Members' naweza Kusubiria ipate 'hype' kutoka kwa Mpumbavu Mwandamizi ( Popoma Uliyetukuka ) kama Wewe?

Cc: Mkaruka
Uoni aibu kuandika huu utopolo?
 
Back
Top Bottom