Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Siyo tu Mkurugenzi wa Kahama, David Msumba alistahili msamaha, bali hata akina Ben Saanane na Azory Gwanda nao wangesamehewa tu

Mitano tena.....mtoto wa dhadha ......muda mwalimu mzuri
 
Niliwahi kuambiwa na Mtu Mmoja kuwa ukiona Mwanadamu ( Mtu ) anapenda mno Kusali tena kwa Kujionyesha kwa Watu basi ni zaidi ya Shetani.
Kuna wakati unakuwa kichwa sana! Sijui ni kwa sababu timu yako ilimpiga mtu 4 G jana! Ila inapofungwa tu, ndiyo huwa unakuja na zile mada zako za kipopoma!!

Leo nimekupa "like" mkuu Genta!! Raia mzalendo wa Puerto Rico.
 
Usisahau kwa Patrobas Katambi alikuaga kada kindakindaki wa chadema na kuna wakati lowasa alikua kada kindakindaki wa CCM na CHADEMA kwa pamoja

Akili kumkichwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tatizo nyinyi ni wapiga kelele nje ya geti la lumumba hivyo hata kujua ukweli hamna nafasi hiyo
 
Tatizo nyinyi ni wapiga kelele nje ya geti la lumumba hivyo hata kujua ukweli hamna nafasi hiyo
Ulichoandika kina uhusiano gani kuniquote.... au mradi kuquote🙄🙄🙄
 
Back
Top Bottom