Scandal sio lazima uzushiwe zingine hua ni kweli......sema wahuni wanashindwa kukusitir wanavujisha!
Kuna kipindi tulikua tunagombania madem mtaa x na y, kama unakaa x ukamdeti demu anakaa mtaa y ukidakwa utatoa hesabu ya Kila goli ulilompiga...... siku hyo kulikuwa na harusi mtaa y machalii wa mtaa x walikuja wa kutosha na boda boda zao, mda wa kucheza Muziki nlijua kitanuka tu nkaenda barabarani nkaweka mawe ya kutosha na magogo ili majamaa wakikimbia na boda zao wakwame wachezee kipondo....kwel hata lisaaa halijaisha vurugu zikaanza Muziki ukazimwa wakaanza kupigana majamaa wakatoka nduki kufika road imezibwa wakakutwa pale walichezea kufuli kamba za maana plus mawe
Baadae walikua wanatafuta nani kaziba road....hiii Dunia hii kila unachokifanya hua Kuna mtu anakuona aiseee Kuna mtu alinitaja yaan alisimulia kila nlichofanya pale nlianza na nn nikamaliza na nn nlihojiwa nikagoma sio mm lkn nlikuwa mm....nlipitisha miaka miwili Kuna maeneo siendi mwenyw