Von Bismarck
JF-Expert Member
- Jul 11, 2018
- 3,890
- 8,647
Duniani huwezi fanya jambo kwa siri aiseehiii Dunia hii kila unachokifanya hua Kuna mtu anakuona aiseee Kuna mtu alinitaja yaan alisimulia kila nlichofanya pale nlianza na nn nikamaliza na nn nlihojiwa nikagoma sio mm lkn nlikuwa mm....nlipitisha miaka miwili Kuna maeneo siendi mwenyw
Na mpaka Leo sijajua yule mtu ni nan sikumshirikisha mtu yeyote na nlifanya timing kwamba saiv watu hawatoki na hata wakitoka waenda kwa miguu nlijua kbs watapita road ipi lkn nlionekana vzrDuniani huwezi fanya jambo kwa siri aisee
Mbona yako inaonekana ya kusisimua mkuu... tupe story ilikuaje kuaje ππNatamani kueleza ila roho inasita mtanijua ila itoshe kusema wafanyakazi wa Temeke hospitali Mungu anawaona na katu siachi kuwaombea mabaya maana mlijua kunidhalilisha kijana wenu alafu nikiwa ndiyo kwanza naanza ajira .
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Wapi mkuu usijekuta inaendana na hii story?πMalage π
Nilipewa skendo ya kijinga sana mpaka kusimulia naona aibu yaniMbona yako inaonekana ya kusisimua mkuu... tupe story ilikuaje kuaje [emoji2][emoji2]
Iseme mkuu au acc Yako inatumikaNilipewa skendo ya kijinga sana mpaka kusimulia naona aibu yani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Naona umegeuza story inaonesha uliliwa weweSkendo nyingi huwa ni za kutengenezwa na watu ili kukuchafua na kuonekana kwenye jamii kuwa wewe ni mtu wa ovyo sana
Skendo ambayo staisahau kwenye maisha yangu nilipozushiwa kuwa nina mahusiano ya kimapenzi na mwanaume shoga, na nikaambiwa na tarehe na sehemu tulipofanyia hicho kitendo,iliniuma sana nikajificha ndani haikusaidia,nikazima simu haikusaidia ..
Ili skendo iishe niliamua kukaa kwa watu walipo na kila aliyekuwa ananiuliza nilikubali yaishe, ila iliniuma sana
Je wewe mwenzangu umewahi kushushiwa skendo gani na uliikabilije kwenye jamii?
Na ndo Mana uko jf Bila shaka wewe Ni single momNakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijihudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomeaπ€¦ββοΈπ€¦ββοΈ...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitorokeπππ.. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi
Pole sana aiseeππ.. Tatizo mnapenda kuwakadiria watu, wacha nisiseme kituNa ndo Mana uko jf Bila shaka wewe Ni single mom
Pole sana aisee.. bila shaka uliivuka salamaNilipewa skendo ya kijinga sana mpaka kusimulia naona aibu yani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Na ikabidi afanye nini kwenye uongozi?Hata kama ulikuwa hutumii nini?
Mimi miaka ya 90 kuna msichana nilimpenda mtaani lakini kutokana na utoto nikashindwa kumwambia nikawa nampa pesa tu, siku moja nilimpa pesa shilingi ishirini , kumbe kuna mtu aliniona akaenda kuwaambia wazazi wake yule binti.
Wazazi wake wakorofi wakanijazia watu mtaani wakanitukana sana kwamba namtom** binti yao.
Mwishoni wakasema huyu mtoto ni popobawa kabisa kabisa hafai.
Ikumbukwe miaka ile ya tisini ndio ile kadhia ya popo bawa ilikuwa imepamba moto.
Kuanzia hapo nikawa naitwa jina la popobawa.
Kwakweli nilikuwa naumia na kusononeka sana.
Nilipewa skendo ya kijinga sana mpaka kusimulia naona aibu yani
Sent from my SM-J410F using JamiiForums mobile app
Sijakuelewa mkuu ila mimi ni aina ya watu kwenye familia wakat wa kula nilikuwa nikiambiwa wenzio hawajala, hii ilikuwa inanikera sanaWapi mkuu usijekuta inaendana na hii story?π
Jamanii πππ€¦ββοΈNa ikabidi afanye nini kwenye uongozi?
Poleee sana.Nakumbuka wakati niko shule nilizushiwaga nadate na mwalimu wa physics ile skendo ilinitesaga sana nilifikia hatua hadi nikawa najifelisha makusudi maana nilikua nikifaulu tu watu wanasema nimevujishiwa paper,, toka nimeenda shule msosi wa shule nilikua sili ila ikafikia hatua ilibidi nianze kula tu hatakama situmii malage na sipendi kande maana ilikua nikinunua hata chips wanasema hela nimehongwa na mwalimu, nilikuaga kiongozi lakini ikabidi nijiudhuru tu maana ilikua nikisimama assembly hata kutangaza naona kama shule nzima inanizomea[emoji2356][emoji2356]...iliniumiza na kunitesa sana kisaikolojia ukizingatia na mwalimu mwenyewe alikua mkali hata kuanza kumuuliza naogopa naanzia wapi,, nilimwomba mzee anihamishe shule alikataa hadi nikatamani nitoroke[emoji23][emoji23][emoji23].. Nilikuja kujifunza baadae sana kwamba inabidi uishi tu maisha ya kawaida ambayo almost kila mtu anaishi maana ukijiweka tofauti tu watu wanaanza kufanya assumptions za kipuuzi