Skendo gani imewahi kukuandama ukahisi kuchanganyikiwa? Uliimalizaje?

Popobawa on trending [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nakimbia jogging kila siku.. naipenda njia moja sababu haina complications. Wakat wa kurudi sirud njia ile nazunguka natokea upande wa pili. Baada ya muda wife kaletewa tuhuma imezagaa mtaani kuwa nnavokimbia ni geresha kuna mwanamke mmoja kule mbele namla so huwa naenda.. na ndo maana sirudi. kumbe mtaa mzima walikua wanajua hii skendo ni mimi tuu muhusika nilikua sijui
 
Binadamu ni wabaya sana
 
Wewe jinsia gani?
 
Kuna co - worker mwenzangu ananisambazia habari za uongo kwa watu na kunichukia bila sababu eti Mimi natembea na mwanamke wake .

Sijawahi kutembea naye huyo mwanamke kimapenzi na wala sijawahi kumtongoza,

INAUMA SANA
Ninajijua akili yangu mbovu. Huyo ni lazima ningekula hata kwa kufumba macho.

Sijawahi kusingiziwa nikaacha hata siku moja. Labda nisingiziwe na wengine lakini akithubutu kunituhumu mumewe, lazima nikale ashike adabu.

Sent from my Infinix X688B using JamiiForums mobile app
 
Wewe ni ke!?

Mie Me ningesingiziwa namkula mwalimu wa kike, Ningemtongoza kabisaa 😂
 
Mimi na mwanangu hapo Tarime Sec tukazushiwa kuwa tunakula mjani, sema haikutuuma coz tulikuwaga tunasupply tu bila kuvuta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…