Sky News majuzi walikuwa busy Kushangilia kutinga Fainali hadi kusitisha Vipindi vyao Vingine mbona Usiku huu wanajifanya kama bado hawana Matokeo?

Kutegemea England atamfunga Spain ni matumizi mabaya ya matumaini. Siku zote nasemaga tukajifunze mpira kwa Wahispania tuachane na Waingereza watu hawanisikii.
 
Back
Top Bottom