Sleeper Agent: Mbinu ya kupandikiza jasusi mahali atakayetumika siku za baadaye

Asante kwa taarifa.
 
Mbona unatoboa siri zetu??
 
I agree with you asee.. Kuna series inaitwa undercover.. Ni kielelezo tosha.. Ndo dunia lakini akili kumkichwa
Unayo nakala yake? Inapatikana madukani ama ni kudownload tu?
 
Dah! inavutia sana! leo hii Wamarekani wamekuja na compashion mnalijua hilo? wanaandaa vijana wao wa baadae!
 
Nina wasiwasi na watu 2-3 kuwa hawa sleeper agents
 
Namtafuta aliyenidanganya kuwa Tanzania ni ya Tatu kwa ubora kwenye ulimwengu wa ushushu.
Vichaa Tanzania ni mashushushu
wapiga debe mashushushu
yaani kila MTU shushushu na ushushu hawaujui
Hehehehe wht a joke
 
..kwahiyo kuna Sleeper Cell na Sleeper Agents?
Sleeper Cell nilichotaja hapo juu ni member mwenzetu humu JF nilikuwa najaribu kumuita.

Sleeper Cell ni neno la siku hizi lililovamia kwenye msamiati wa kijasusi likitokea kwenye media ambalo linashika kasi likiwa na maana ileile ya sleeper agent.

Lakini mwanzoni kabisa lilikuwa na maana ya kikundi cha sleeper agents wengi waliokula mafunzo kwa pamoja, japo kwa sasa linatumika tu kumaanisha sleeper agent mmoja.

Mkanganyiko huu ni mambo tu ya lugha na sio mantiki yake.
 
Asee ni kudownload tu
Nipe downloading link mkuu. Siyo mjuzu sana wa torrents pia kama inapatikana huko. Ila nimejaribu youtube inaonekana baadhi ya episodes ni za kiingereza na zingine lugha fulani naona itakuwa Bulgarian. Please. Napenda sana hizi movie. Do the needful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…