Smart911
Platinum Member
- Jan 3, 2014
- 179,428
- 197,153
Kuna mambo yanafurahisha sana...Mambo yao wanajiachia wenyewe
Ngoja waje
Kuna mambo yanafurahisha sana...Mambo yao wanajiachia wenyewe
Ngoja waje
Me ndio mtaalamu ati!? Si umeulizwa wewe!Angel Nylon njoo uwape miongozo...
Wape mbinu...Me ndio mtaalamu ati!? Si umeulizwa wewe!
Anyway, hayanaga muongozo 😝
Hizo mbinu labda nizibuni kwanza 🤣🤣🤣Wape mbinu...
Vibaya hivyo, wape miongozo na busara zako...Hizo mbinu labda nizibuni kwanza 🤣🤣🤣
Inawezekana ni Active Maana jamaa ni mnoko sana akija PM.Halafu utakuta ni moderator 😂😂😂😂😂😂