Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Mkuu kuna simu hapa ya tecno N7 nataka niichukue kwa 180,000. Je kwa bei hiyo ni halali au naeza kupata nzuri zaid ya hiyo?
 

Asante Chief kwa ufafanuzi.

Nilikuwa natumia s4 gt i9500 ilikubali kupokea update ya kitkat v 4.4.2

Sasa hivi natumia s4 sch i545 verizon ina v 4.3 jellybean

Kila nijaribu kutafuta uptade mpya ya kitkat 4.4.3 haipatikani au model hii haimo kwenye orodha ya kupokea update hiyo?
 
Last edited by a moderator:

thank a lot kwa hii xplanation.
 

seems imekwama hapo lakini hilo ni tatizo la verizon.

mitandao ya simu ya marekani wana power kuliko makampuni ya simu na wanawaminya sana. pengine hawajapendezewa na hio kitkat wakaamua waipige na chini.

nimeangalia specs zake ina snapdragon 600 hivyo ni sawa na version ya international unaweza ku update kwenda kitkat kupitia rom ambazo wameziport toka international version. ila hili litahitaji simu yako uwe umeiroot
 
Last edited by a moderator:

Asante mkuu kwa hayo kwani sikulifahamu hilo.
 

mkuu nimeikuta hii simu GSM arena inaitwa xiaomi mi 3 sijui hapa bongo zinapatikana kwa shilingi ngapi?
 
mkuu nimeikuta hii simu GSM arena inaitwa xiaomi mi 3 sijui hapa bongo zinapatikana kwa shilingi ngapi?

hao jamaa huko india kwenyewe wamefika juzi ila wana supply mbovu. zipo hapa bongo ila wengi wamezifata wenyewe china
 
Za jioni wakuu. Sijawah kutumia smartphones. Naomba mnishaur ninunue ipi yenye aplication nyingi kama instagram n.k. Natanguliza shukrani wataalam. Nipo Dsm
 
Inategemea na bajeti yako.

Vitu vya kuangalia ndani ya simu:

Internal Memory ianzie 1gb

Iwe na speed nzuri.

Iwe na uwe wa kusuppot external memory yenye ukubwa kuanzia 2gb- 16gb

Iwe na camera 3mp -5mp

Ikiw na camera ya mbele kwa ajili ya selfie ( kujiphotoa mwenyewe kwa camera ya mbele)

Ukubwa wa kioo.

Hivyo ni muhimu.

Tatuta simu lg, samsung, sony
, nokia , htc.

Hata tecno
 
Njoo nkuuzie yng, iPhone 4s Ina internal memory ya Gb 32. Kwa 350,000 tu. Call 0716421233
 
kanunue ya huawei ya tigo 130000 au vodafone ya vodacom 100000
 
Nunua iPhone 5s, ni nzuri sana.


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…