Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna simu hapa ya tecno N7 nataka niichukue kwa 180,000. Je kwa bei hiyo ni halali au naeza kupata nzuri zaid ya hiyo?
chip za qualcom na exynos huwa mara nyingi zinapata updates nyengine hadi 4 au 5. mfano
s4 ilitoka na android 4.2, ikapata android 4.3 ikapata 4.4.2 then 4.4.4 na itapata android l
lumia 520 imepata update ya amber, then black now inapata cyan na soon itapata debian red.
hivyo simu moja huna haja ya kuibadilisha we unabadili version tu na muonekano na function za simu zinabadilika kama umenunua mpya.
chip za qualcom na exynos huwa mara nyingi zinapata updates nyengine hadi 4 au 5. mfano
s4 ilitoka na android 4.2, ikapata android 4.3 ikapata 4.4.2 then 4.4.4 na itapata android l
lumia 520 imepata update ya amber, then black now inapata cyan na soon itapata debian red.
hivyo simu moja huna haja ya kuibadilisha we unabadili version tu na muonekano na function za simu zinabadilika kama umenunua mpya.
Asante Chief kwa ufafanuzi.
Nilikuwa natumia s4 gt i9500 ilikubali kupokea update ya kitkat v 4.4.2
Sasa hivi natumia s4 sch i545 verizon ina v 4.3 jellybean
Kila nijaribu kutafuta uptade mpya ya kitkat 4.4.3 haipatikani au model hii haimo kwenye orodha ya kupokea update hiyo?
seems imekwama hapo lakini hilo ni tatizo la verizon.
mitandao ya simu ya marekani wana power kuliko makampuni ya simu na wanawaminya sana. pengine hawajapendezewa na hio kitkat wakaamua waipige na chini.
nimeangalia specs zake ina snapdragon 600 hivyo ni sawa na version ya international unaweza ku update kwenda kitkat kupitia rom ambazo wameziport toka international version. ila hili litahitaji simu yako uwe umeiroot
tecno zinatumia chip
ya mediatek na chip ya simu inajumuisha vitu kama hivi.
-processor
-gpu(kwa ajili ya games na app kubwa)
-fm radio
-network radio mambo ya 3g na 2g
hivyo tunaweza kusema chip zinazoekwa kwenye simu ndio kila kitu sababu
mambo yote muhimu yapo kwenye hio chip, chip ikiwa mbaya na simu pia
itakua mbaya. mediatek ina matatizo mengi kama.
1.inacorupt imei number na ikicorupt basi huwez piga simu wala kupokea
wala kufanya karibia shughuli zote za kisimu hadi uifix.
2. huwezi kuiupdate simu ya mediatek kama inakuja na android 4.1 ili
iende 4.2 inabidi ununue simu nyengine
3. simu zote za mediatek zinatumia cortex a7 ila wanatoka processor ya
cortexa15 soon. hii processor ya a7 haina nguvu sana.
4. sometime vitu kama gps wifi au bluetooth pia huzingua
ina matatizo mengi meadiatek na pia simu zake ni bei rahisi sana.
incase ndio huna budi inabidi ununue simu ya mediatek zipo simu kali za
around dola 130 kama xiaomi hongmi aka red rice na huawei honor 3c
unaweza ukazigoogle uone zilivyokua na specs kubwa kwa bei ndogo
mkuu nimeikuta hii simu GSM arena inaitwa xiaomi mi 3 sijui hapa bongo zinapatikana kwa shilingi ngapi?
hao jamaa huko india kwenyewe wamefika juzi ila wana supply mbovu. zipo hapa bongo ila wengi wamezifata wenyewe china