Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua


Natumia Lumia 620, ili nijue simu yangu iko updated kwenda wp8.1 naangalia wapi? Nili update but sijaona tofauti ktk simu. Niingie sehemu gani kuona kama tyr imeenda wp8.1?
 
Natumia Lumia 620, ili nijue simu yangu iko updated kwenda wp8.1 naangalia wapi? Nili update but sijaona tofauti ktk simu. Niingie sehemu gani kuona kama tyr imeenda wp8.1?
nenda setting then about
 
Ni kama unavyoona hiyo picha hapo. Nime update mara mbili. Na bado muda natumia wi-fi inaleta sms ya ku update.

mkuu naomba unielekeze namna ya Ku conect wi-fi kwa kutumia simu kwa simu maana nahitaji Ku update na mimi natumia Lumia 620
 
Nokia Lumia 620 na tecno p5 nataka Ku update kwenda WP 8.1

eka wifi on kwenye lumia 620 yako then kwenye tecno nenda setting then more network then tethering and hotspot ieke on. utaiona net ya p5 kwenye 620 yako
 
Wakubwa naombaa mnijulishe smart phone HTC brand Gani Ni kali kwa kiwango hiki cha Sh.350000/=
 
Habari wakuu, naomba kufahamu window phone nzuri kama ipo yenye dual core. Pia naomba kufahamishwa na bei zake sana sana yenye ram 1Gb . Ukieweza kugusia na nokia itakua vizuri zaid, chief-mkwawa karibu
 
Ever heard of Moto G or Moto X? Nexus 5? Or One plus one? Great phones, great specs, lower price.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…