Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

kaka windows phone 8 imekua designed na vitu vinaitwa hub, hizi hub kila application ina hub yake na application hairuhusiwi kuingilia hub ya mwenzake. ina maana ukidownload kitu kinakaa kwenye hub hio hio. ni kwa ajili ya usalama walifanya hivi.

ila kwenye windows phone 8.1 wamezitoa hubs sasa hivi imekua free na mpaka file manager wameeka unazurura unavyotaka. hivyo update kwenda wp8.1 kwanza.

Natumia Lumia 620, ili nijue simu yangu iko updated kwenda wp8.1 naangalia wapi? Nili update but sijaona tofauti ktk simu. Niingie sehemu gani kuona kama tyr imeenda wp8.1?
 
Natumia Lumia 620, ili nijue simu yangu iko updated kwenda wp8.1 naangalia wapi? Nili update but sijaona tofauti ktk simu. Niingie sehemu gani kuona kama tyr imeenda wp8.1?
nenda setting then about
 

Attachments

  • 1410119469660.jpg
    1410119469660.jpg
    31.9 KB · Views: 347
Ni kama unavyoona hiyo picha hapo. Nime update mara mbili. Na bado muda natumia wi-fi inaleta sms ya ku update.

mkuu naomba unielekeze namna ya Ku conect wi-fi kwa kutumia simu kwa simu maana nahitaji Ku update na mimi natumia Lumia 620
 
Wakubwa naombaa mnijulishe smart phone HTC brand Gani Ni kali kwa kiwango hiki cha Sh.350000/=
 
Habari wakuu, naomba kufahamu window phone nzuri kama ipo yenye dual core. Pia naomba kufahamishwa na bei zake sana sana yenye ram 1Gb . Ukieweza kugusia na nokia itakua vizuri zaid, chief-mkwawa karibu
 
Ever heard of Moto G or Moto X? Nexus 5? Or One plus one? Great phones, great specs, lower price.
 
Back
Top Bottom