Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari za jioni,Nina kama shilingi za kitanzania 350,000/= je ni simu gani nzuri ya Android ambayo naweza kupata kwa pesa hii ama chini ya hapo.
Ilikua ni November mwaka jana nilishapata...asante mkuuvipi Lumia 620 huitaji?
kaka windows phone 8 imekua designed na vitu vinaitwa hub, hizi hub kila application ina hub yake na application hairuhusiwi kuingilia hub ya mwenzake. ina maana ukidownload kitu kinakaa kwenye hub hio hio. ni kwa ajili ya usalama walifanya hivi.
ila kwenye windows phone 8.1 wamezitoa hubs sasa hivi imekua free na mpaka file manager wameeka unazurura unavyotaka. hivyo update kwenda wp8.1 kwanza.
nenda setting then aboutNatumia Lumia 620, ili nijue simu yangu iko updated kwenda wp8.1 naangalia wapi? Nili update but sijaona tofauti ktk simu. Niingie sehemu gani kuona kama tyr imeenda wp8.1?
nenda setting then about
Ni kama unavyoona hiyo picha hapo. Nime update mara mbili. Na bado muda natumia wi-fi inaleta sms ya ku update.
nenda setting then about
Nunua iPhone 5s, ni nzuri sana.
Sent from my iPhone using JamiiForums
Mkuu naomba unielekeze namna ya Ku connect wi-fi simu kwa simu maana nimejaribu lakini hata Niki search sipati kitu wakati wi-fi za simu zote zipo on
simu gan na simu gan
Nokia Lumia 620 na tecno p5 nataka Ku update kwenda WP 8.1
eka wifi on kwenye lumia 620 yako then kwenye tecno nenda setting then more network then tethering and hotspot ieke on. utaiona net ya p5 kwenye 620 yako
wakubwa naombaa mnijulishe smart phone htc brand gani ni kali kwa kiwango hiki cha sh.350000/=
Wakubwa naombaa mnijulishe smart phone HTC brand Gani Ni kali kwa kiwango hiki cha Sh.350000/=
Wakubwa naombaa mnijulishe smart phone HTC brand Gani Ni kali kwa kiwango hiki cha Sh.350000/=