Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
hata NOKIA XL unaweza ukajaribu kuiona japo inasumbua kidogo katika kuingiza WHATSAPP.....yaani inahitaji uzoefu kidogo kwasabu ya OS yake
nokia x2 ni nzuri kuliko xl pia bei ni rahisi zaidi.
x2 ina ram 1gb wakati xl ni 768mb
x2 ina cortex a7 na xl ni cortex a5
pia x2 kuna tool ambayo automatic inaroot simu na kuingiza service za google kama playstore