Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

hata NOKIA XL unaweza ukajaribu kuiona japo inasumbua kidogo katika kuingiza WHATSAPP.....yaani inahitaji uzoefu kidogo kwasabu ya OS yake

nokia x2 ni nzuri kuliko xl pia bei ni rahisi zaidi.

x2 ina ram 1gb wakati xl ni 768mb
x2 ina cortex a7 na xl ni cortex a5

pia x2 kuna tool ambayo automatic inaroot simu na kuingiza service za google kama playstore
 
Y530 inaweza kua bora zaidi ya y300? Napenda sn huawei ila unanishauri nichukue ipi kati ya hizo?
 
internal ni 4gb na ram ni 512mb.

y530 ni bora kushinda p5

Hiyo y530 si ni HUAWEI ASCEND? je inauzwa bei gani? au ni sim gani isiyozidi laki mbili yenye kwa hapo bongo yenye ram inayofika 1gb na internal memory isiyopungua 8gb? nahitaji simu zenye uwezo kama huo kama tatu hivi je nitazipata kwa bei hiyo au pungufu ya hapo?
 
lumia 525 ina 8gb na 1gb ram lakini sidhan kama utaipata kwa bei hio ya 200,000 huwa bei yake ni 250,000 hadi 300,000 pia ni ngumu kuzipata.

simu nyengine labda utafute galaxy s2 ambayo ni used

y530 ndio ni ascend huawei na bei ni 195,000 sema ipo locked tigo lakini pia utapata zawadi za internet sms na kupiga simu za kumwaga
 
Asante mkuu! lakini hiyo galaxy s2 used nitaipata wapi? na kuhusu lumia hata mlimani city au posta hazipatikani? hiyo lumia kwa 250,000 sio mbaya.
 
unajua wafanya biashara wetu si watu wa tech. lumia 520 na 525 zinafanana kila kitu kwenye appearence hivyo wengi huleta 520 kwa ajili ya faida.

525 ni adimu kwa huku kwetu kajaribu kuitafuta hasa kwa bei kama hio
 
Kwahiyo lumia 525 ni adimu ila 520 zinapatika kirahisi tu au vipi? halafu zaidi ya appearance ya nje je kuna kuzidiana uwezo kati ya hizo simu?
 
mkuu chief-mkwawa kuna hizi simu zinaitwa nokia lumia 900. je hizi simu ni nzuri?
 
Last edited by a moderator:
sio nzuri kaka

Mkuu vipi kwani kununua sim used online kuna tatizo gani? mfano GSM arena nimepitia nimeiangalia Samsung galaxy s2 ni bei poa, vipi gharama ya kujisajiri gsm arena ili niweze kununua sim au hadi ikifika bongo bei itakuwa sawa na zinazouzwa bongo?
 
duh nimeshaingia cha kike. hebu nieleze matatizo yake mkuu kwa nini ikawa sio nzuri

ni haya
1. haina ussd code hutaweza kutumia vitu kama mpesa na tigo pesa
2. imekwama kwenye wp7.8 haitapata updates kuja wp 8.1
 
Mkuu vipi kwani kununua sim used online kuna tatizo gani? mfano GSM arena nimepitia nimeiangalia Samsung galaxy s2 ni bei poa, vipi gharama ya kujisajiri gsm arena ili niweze kununua sim au hadi ikifika bongo bei itakuwa sawa na zinazouzwa bongo?

gsmarena hawauzi simu wanatoa tu estimation za bei.

ila huwa wanaeka matangazo ya ebay kwa pembeni. maybe umeona hayo matangazo ukadhan wanauza simu.

kuhusu kununua vitu ebay ipo thread inaelezea kwa kina huku jukwaani
 
ni haya
1. haina ussd code hutaweza kutumia vitu kama mpesa na tigo pesa
2. imekwama kwenye wp7.8 haitapata updates kuja wp 8.1
aha sawa asante ila na ilo la kushindwa kutumia tigo pesa litanicost sana, tuachane na hayo ubarikiwe mkuu
 
gsmarena hawauzi simu wanatoa tu estimation za bei.

ila huwa wanaeka matangazo ya ebay kwa pembeni. maybe umeona hayo matangazo ukadhan wanauza simu.

kuhusu kununua vitu ebay ipo thread inaelezea kwa kina huku jukwaani

Poa poa mkuu! lakini gharama ya kununua ebay si inaweza kuwa nafuu kuliko kununua mlimani city au posta?
 
Back
Top Bottom