Smartphone za bei rahisi unazoweza kununua

ni haya
1. haina ussd code hutaweza kutumia vitu kama mpesa na tigo pesa
2. imekwama kwenye wp7.8 haitapata updates kuja wp 8.1
mkuu samahani nina masuali nahitaji kukuliza, nimedowload whatsapp kwenye nokia lumia 900, ila mtu kama anatumia whatsapp hata kama nimemsave nikienda kwenye whatsapp silikuti jina lake, je hili pia ni matatizo yake?
 
Mheshimiwa chef mkwawa wiki iliyopita niliomba msaada wawana jamii forum mimi nina samsung galaxy not 3imefuta imei inaandika nilnil je nifanyeje ili ipone chef naomba msaada wako
 
Ingia hapo whatsapp juu kulia uta click hiyo button yenye box na alama ya kujumlisha, kisha bonyeza ile button alama kama dot ziko tatu na kwa chini utaona neno REFRESH hilo neno bonyeza utaona inaanza kuzunguka kama ina load baada ya hapo itakua tayar wote utawaona
 
mkuu samahani nina masuali nahitaji kukuliza, nimedowload whatsapp kwenye nokia lumia 900, ila mtu kama anatumia whatsapp hata kama nimemsave nikienda kwenye whatsapp silikuti jina lake, je hili pia ni matatizo yake?

nenda favourites utawakuta huko. kama huwaoni bonyeza zile nukta tatu kwa chini kisha bonyeza refresh
 
Mheshimiwa chef mkwawa wiki iliyopita niliomba msaada wawana jamii forum mimi nina samsung galaxy not 3imefuta imei inaandika nilnil je nifanyeje ili ipone chef naomba msaada wako

nenda setting kisha about kaangalie baseband kama imeandikwa unknown basi hadi box ndio itafaa
 
nenda favourites utawakuta huko. kama huwaoni bonyeza zile nukta tatu kwa chini kisha bonyeza refresh

sawa mkuu bado kesi moja tu, ukinisaidie hii kuna zawadi yako, ni vipi naweza kuzuia screen isizunguke
 
Mkuu, mmi nina nokia x2 kuna tatizo limejitokeza nikitaka kuplay videos, kama ni kwenye youtube, inakuwa kama inasearch alafu ina niandikia "check conection setting" na nikiangalia kwenye settings hakuna kilicho badilika. Tatizo litakuwa nini?
 
x2 ipi kaka yenye button au ile ya touch tupu?

nenda setting then configuration hakuna streaming setting?
 
Mkuu kuna hii smartphone inatangazwa na vodacom bei yake ni 79,000 vipi ni nzuri?
 
smatrphone za bei rahisi
 
Attachments

  • 1411681310527.jpg
    1411681310527.jpg
    79.5 KB · Views: 258
  • 1411681356935.jpg
    1411681356935.jpg
    117.1 KB · Views: 231
  • 1411681371395.jpg
    1411681371395.jpg
    78.7 KB · Views: 230
Back
Top Bottom