Chief-Mkwawa
Platinum Member
- May 25, 2011
- 31,559
- 42,179
Poa poa mkuu! lakini gharama ya kununua ebay si inaweza kuwa nafuu kuliko kununua mlimani city au posta?
ni nafuu ndio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa poa mkuu! lakini gharama ya kununua ebay si inaweza kuwa nafuu kuliko kununua mlimani city au posta?
wakuu mimi nina laki mbili ipi simu ya android nzur nitapata!
mkuu samahani nina masuali nahitaji kukuliza, nimedowload whatsapp kwenye nokia lumia 900, ila mtu kama anatumia whatsapp hata kama nimemsave nikienda kwenye whatsapp silikuti jina lake, je hili pia ni matatizo yake?ni haya
1. haina ussd code hutaweza kutumia vitu kama mpesa na tigo pesa
2. imekwama kwenye wp7.8 haitapata updates kuja wp 8.1
mkuu samahani nina masuali nahitaji kukuliza, nimedowload whatsapp kwenye nokia lumia 900, ila mtu kama anatumia whatsapp hata kama nimemsave nikienda kwenye whatsapp silikuti jina lake, je hili pia ni matatizo yake?
mkuu samahani nina masuali nahitaji kukuliza, nimedowload whatsapp kwenye nokia lumia 900, ila mtu kama anatumia whatsapp hata kama nimemsave nikienda kwenye whatsapp silikuti jina lake, je hili pia ni matatizo yake?
sio nzuri kaka
Mheshimiwa chef mkwawa wiki iliyopita niliomba msaada wawana jamii forum mimi nina samsung galaxy not 3imefuta imei inaandika nilnil je nifanyeje ili ipone chef naomba msaada wako
vipi khsu lumia 920?
nenda favourites utawakuta huko. kama huwaoni bonyeza zile nukta tatu kwa chini kisha bonyeza refresh
sawa mkuu bado kesi moja tu, ukinisaidie hii kuna zawadi yako, ni vipi naweza kuzuia screen isizunguke
Mkuu, mmi nina nokia x2 kuna tatizo limejitokeza nikitaka kuplay videos, kama ni kwenye youtube, inakuwa kama inasearch alafu ina niandikia "check conection setting" na nikiangalia kwenye settings hakuna kilicho badilika. Tatizo litakuwa nini?
x2 ipi kaka yenye button au ile ya touch tupu?
nenda setting then configuration hakuna streaming setting?
sawa mkuu ntafanya mpango niiuze hiihaina kaka, thats why nikakwambia sio hio simu. tafuta zenye wp8.1
Mkuu kuna hii smartphone inatangazwa na vodacom bei yake ni 79,000 vipi ni nzuri?
sijaiona kaka unaweza kunidirect sehemu ambapo naweza iona, kwenye site yao au fb
smatrphone za bei rahisi