BUKU 1 800
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,175
- 2,125
ApigweeMjegeje
We mshangazi wewe!""bby ntachelewa kurudi kuna mechi ya EPL""
JIBU LANGU
"Usijali. Funguo ntaiweka chini ya mlango. Chakula kipo kabatini"
Ndo wale ambao pdidy akiwacheki tu, chap wameingia kwenye mfumo.Huu upuuzi wa kuandika "tyu" badala ya "tu" sijui hivi vitoto vimeutoa wapi!! Halafu ukute ni wa kiume 🙆♂️🙆♂️🙆♂️😇
Noma sana.yupo mwimbili fyeta anafanyiwa uplesheni.
Sasa unataka aandike kama inavyo andikwa ulimpeleka shule ahahahahyupo mwimbili fyeta anafanyiwa uplesheni.
Niguse nini tako?Oya vipi, kama hujatoka njoo uguse hata moja..
Umeamua unibold kabisa poa poaMtu anaandika "tyu" badala ya tu
Huu upuuzi wa kuandika "tyu" badala ya "tu" sijui hivi vitoto vimeutoa wapi!! Halafu ukute ni wa kiume 🙆♂️🙆♂️🙆♂️😇
Hahahahahhahahahh, duh!Sasa unataka aandike kama inavyo andikwa ulimpeleka shule ahahahah
Au naongopa?Hahahahahhahahahh, duh!
Fact mkuu.Au naongopa?
Madharau siyo."Haya" au "Ok"
Hapo umemuandikia mtu sentensi ndefu inayohitaji majibu marefu...
Kabisa huwa nakeleka sana ase"Haya" au "Ok"
Hapo umemuandikia mtu sentensi ndefu inayohitaji majibu marefu...
Hapo ni simpo, unamwambia 'najali'Mwanamke akiniandikia "Naomba nikuombe kitu kama hautojali"